Ndoa ya msanii Shetta na mke wake yavunjika, chanzo ni Rose Ndauka

Ndoa ya msanii Shetta na mke wake yavunjika, chanzo ni Rose Ndauka

Umeonaa eeehhh kwa raha zetu Bibi nivumilie karaha ina huuu?? Nasepa fasta ha ha Uislamu raha sana

Raha tena sana.Watu wanasemaga tu hawajui raha na faida za kua muislam.Ndoa ukiona haikufai tena unasepa tu.
Hahahaaa
 
Dats how it z,yan hii bongo muv cjui nan aliacha ameilaan af akafa mana kla ck ina vimbwanga vpya cjui ntaingiaje kwny chama hili ila bc 2 mrad najua nachofanya so ntakua mwangalif sana,ee Mungu nisaidie

Andika vizuri wewe
 
Mabilionea wanaongezeka akitoka mmoja anaingia mwingne

Haya ngoja nikuitie warumi atakutatulia tatizo lako vizuri.
Ila andaa ada ya 50, 000 namba haitoki burebure.
Na wewe warumi ukipewa mshiko nikatie changu....lol
 
Last edited by a moderator:
Raha tena sana.Watu wanasemaga tu hawajui raha na faida za kua muislam.Ndoa ukiona haikufai tena unasepa tu.
Hahahaaa

Kwa hili mpo sawa .yani ukomae tu na mateso ya nafsi while we only live once! Akuuu hakunaga.
Mi namuunga mkono mzee machache.
 
Ile habari ya msanii shetta kulala chumba kimoja na rose ndauka uko morogoro imevunja Ndoa na mke ameondoka rasmi na amekataa zawadi ya gari..

========

Ndoa ya Shetta imevunjika…. Mke wake kakataa pia hii zawadi aliyopewa.


Usambazaji wa picha kwenye mitandao siku hizi umekua na nguvu kubwa sana, picha inaweza kusambazwa ndani ya dakika 20 ikabadilisha mambo mengi sana kwenye maisha tunayoishi.

Nakukutanisha na msanii wa bongofleva Shetta ambaye alikuja kwenye studio za Millard Ayo na kukubali kuweka wazi kuhusu kuvunjika kwa ndoa yake ambayo haina hata miaka mitano.Unataka kuona alichosema kuanzia mwanzo mpaka mwisho? unataka kuona picha ya zawadi aliyomnunulia mke wake na bado akaikataa?

Tazama video hii hapa;



Chanzo: MillardAyo






Huyo leila nae anajishau tu, alivyoacha chuo pale ifm na kukimbilia wanaume mastaa alikuwa anaona raha? Kwanza mke wake mwenyewe kicheche hatari anafumuliwa sana na tetesi zinasema ata mtoto anayedaiwa kuwa wa sheta sio wake, inshort huyo leila ni malaya, uko kigogo kashakitembeza sana kisa pesa, anaishi maisha magumu hatar utadhan bwana ake sio star
 
Last edited by a moderator:
Shetta ndiye aliyeiga maana huo wimbo wa gallardo umetoka muda tu kama mwaka na nusu sasa.

Alafu haka kajamaa kanasurvive kwenye game kiujanja ujanja tu, yaani ubunifu zero kabisa!
Siku Kiba akiacha kuimba nitafuta nyimbo za miziki yote niliyonayo nibakize Kwaya pekee na Qaswida za Arafa!
 
Back
Top Bottom