Mkereketwa_Huyu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 9,836
- 7,231
Una akili sana jamaa wewe, tunaojuwa ukweli wa hili jambo tunacheka tuπππ.....kwa kweli Mkwasa alivumilia mengi ila naye hajambo kwa kubadilisha kina dada vyupi.JK alikuwa anawakuta wapi Hawa wadada?? Nimeuliza tu
Nafikiri Ridhiwani atakuwa kishampitia au anakula naye sahani moja kwa hivi sasa. Yule dogo ni kama kalaaniwa, kila anapopita baba yake lazima na yeye afuate hapo hapo., bibie Bonah Kamoli anajuwa hili.Kama wana binti hajaolewa wanistue
Hongera kwa imani na uvumilivu maana ndo msingi wa yote hadi sasaMwanahabari mkongwe na aliyepata kuwa Mkuu wa Wilaya enzi ya awamu ya nne, mama Betty Mkwasa na mumewe Charles Boniface Mkwasa yafikia miaka 35.
Charles Boniface Mkwasa mchezaji na kocha wa zamani alioana na Betty mwaka 1990 na wawili hao wamejaaliwa watoto kadhaa.
Vijana wa zama hizi tunafeli wapi kwenye ndoa zetu? Tutumie mfano wa ndoa hii kama sehemu ya kuvumiliana kwenye changamoto mbalimbali.
View attachment 3204476
Kuna wakati tutofautishe upole,busara na ujinga.Mmoja akikubali kuwa mjinga, ni kifo tu ndio kitawatenganisha
Mungu wangu Betty kavaa huo mkanda kwenye gauni kwa makusudi au nini?Mwanahabari mkongwe na aliyepata kuwa Mkuu wa Wilaya enzi ya awamu ya nne, mama Betty Mkwasa na mumewe Charles Boniface Mkwasa yafikia miaka 35.
Charles Boniface Mkwasa mchezaji na kocha wa zamani alioana na Betty mwaka 1990 na wawili hao wamejaaliwa watoto kadhaa.
Vijana wa zama hizi tunafeli wapi kwenye ndoa zetu? Tutumie mfano wa ndoa hii kama sehemu ya kuvumiliana kwenye changamoto mbalimbali.
View attachment 3204476
2025 toa 2018 walipofunga ndoa. Hapo mwanzo hikuwa ndoa bali sogea tuishi.STWazazi wangu walianza kuishi pamoja mwaka 74, na wamefunga ndoa mwaka 2018 je Wana miaka mingapi kwenye ndoa?
Betty yule yule wa Redio Tanzania ndio kajipalua hivyo kweli kuzaliwa black ni mithili ya Yuda EskariotMwanahabari mkongwe na aliyepata kuwa Mkuu wa Wilaya enzi ya awamu ya nne, mama Betty Mkwasa na mumewe Charles Boniface Mkwasa yafikia miaka 35.
Charles Boniface Mkwasa mchezaji na kocha wa zamani alioana na Betty mwaka 1990 na wawili hao wamejaaliwa watoto kadhaa.
Vijana wa zama hizi tunafeli wapi kwenye ndoa zetu? Tutumie mfano wa ndoa hii kama sehemu ya kuvumiliana kwenye changamoto mbalimbali.
View attachment 3204476
Kujifanya mjinga ni njia mojawapo inayoonyesha busara au upole wa mtuKuna wakati tutofautishe upole,busara na ujinga.
Usipozaa mwanamke huzeeki mapema.Nimependa huyo mama bado anajikubali na kujipenda licha ya umri kumtupa mkono hajajiachia.....wanawake mjifunze hilo.. inawezekana ikawa moja ya sababu ndoa yao imekaa muda mrefu...
Aaaa! hiyo Ipo wazi hakuna aliyeteuliwa kuwa mkuu wa wilaya tena mwanamme halafu awe mjingaKwahiyo kati yao nani amekubali kuwa mjinga?
π₯± Kumbe na wewe ni mwanahabari!Apewe tena ukuu wa wilaya Jamani mbona kumsahau hivi Mwanahabari mwenzetu πππ
Apewe tena ukuu wa wilaya kwa sababu ni mwanahabari au kwakuwa ndoa yao imefikisha miaka 35?
Wa Habari za kitaifa, kimataifa Michezo na Burudani ππ₯± Kumbe na wewe ni mwanahabari!
ID yako nimeinakili kilichobaki ni kusiliza radio ili nipate kukutambua.Wa Habari za kitaifa, kimataifa Michezo na Burudani π
Karibu sanaID yako nimeinakili kilichobaki ni kusiliza radio ili nipate kukutambua.
Asante sana.Karibu sana