Ndoa ya mtangazaji mkongwe Betty Mkwasa na Charles Boniface Mkwasa “Master” yafikisha miaka 35, wapo imara na wanasonga mbele

Mwanahabari mkongwe na aliyepata kuwa Mkuu wa Wilaya enzi ya awamu ya nne, mama Betty Mkwasa na mumewe Charles Boniface Mkwasa yafikia miaka 35.

Charles Boniface Mkwasa mchezaji na kocha wa zamani alioana na Betty mwaka 1990 na wawili hao wamejaaliwa watoto kadhaa.

Vijana wa zama hizi tunafeli wapi kwenye ndoa zetu? Tutumie mfano wa ndoa hii kama sehemu ya kuvumiliana kwenye changamoto mbalimbali.
View attachment 3204476
Hongera kwa imani na uvumilivu maana ndo msingi wa yote hadi sasa
 
Mwanahabari mkongwe na aliyepata kuwa Mkuu wa Wilaya enzi ya awamu ya nne, mama Betty Mkwasa na mumewe Charles Boniface Mkwasa yafikia miaka 35.

Charles Boniface Mkwasa mchezaji na kocha wa zamani alioana na Betty mwaka 1990 na wawili hao wamejaaliwa watoto kadhaa.

Vijana wa zama hizi tunafeli wapi kwenye ndoa zetu? Tutumie mfano wa ndoa hii kama sehemu ya kuvumiliana kwenye changamoto mbalimbali.
View attachment 3204476
Mungu wangu Betty kavaa huo mkanda kwenye gauni kwa makusudi au nini?

Hizo rangi zake huo mkanda si ndio zinatumiwa na watu wa upinde kama utambulisho wao
 
Mwanahabari mkongwe na aliyepata kuwa Mkuu wa Wilaya enzi ya awamu ya nne, mama Betty Mkwasa na mumewe Charles Boniface Mkwasa yafikia miaka 35.

Charles Boniface Mkwasa mchezaji na kocha wa zamani alioana na Betty mwaka 1990 na wawili hao wamejaaliwa watoto kadhaa.

Vijana wa zama hizi tunafeli wapi kwenye ndoa zetu? Tutumie mfano wa ndoa hii kama sehemu ya kuvumiliana kwenye changamoto mbalimbali.
View attachment 3204476
Betty yule yule wa Redio Tanzania ndio kajipalua hivyo kweli kuzaliwa black ni mithili ya Yuda Eskariot
 
Back
Top Bottom