valet de chambre
JF-Expert Member
- Mar 12, 2017
- 1,044
- 1,112
Baaaaaas!Mmoja akikubali kuwa mjinga, ni kifo tu ndio kitawatenganisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baaaaaas!Mmoja akikubali kuwa mjinga, ni kifo tu ndio kitawatenganisha
Zingatia "tulitoroka bwenini..."Wewe ni muislam, maana muislam kwa wali tu ama kitu pilau hata kumtupia mtu majini ili afe akale pilau haoni hasara.
Si kazi rahisi aisee, but hiko ni kaziz cha tofautiDuuh kweli miaka 35 si haba
Watu wenye maisha ya chini na kati ndiyo ndoa zao zinadumu sana, lakini matajiri wengi ndoa zao ni tia maji tia maji.Mwanahabari mkongwe na aliyepata kuwa Mkuu wa Wilaya enzi ya awamu ya nne, mama Betty Mkwasa na mumewe Charles Boniface Mkwasa yafikia miaka 35.
Charles Boniface Mkwasa mchezaji na kocha wa zamani alioana na Betty mwaka 1990 na wawili hao wamejaaliwa watoto kadhaa.
Vijana wa zama hizi tunafeli wapi kwenye ndoa zetu? Tutumie mfano wa ndoa hii kama sehemu ya kuvumiliana kwenye changamoto mbalimbali.
View attachment 3204476
Kwa case ya hawa… Haujui unachosema!Hasa mwanamke akikubali kuishi kama mke ndoa itadumu tena kwa furaha na amani.Tatizo huja pale mke ataka kuishi kama mume ndani ya taasisi ya ndoa na hivyo mume kupokwa mamlakaka.Hongera zao na kila la kheri kwa miaka mingine zaidi.
Umepasua MbarikaMkwasa
😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣😂😂😂Mizigo ya yule dingi wa msoga kachezea nyonyo kibao MNGESE yule
Haa MkuuJK alikuwa anawakuta wapi Hawa wadada?? Nimeuliza tu
MkuuKwanini yeye ndiyo mjinga?
Hii starement imeanndikwa kama kuna mkimbizano ati!!!Mwanahabari mkongwe na aliyepata kuwa Mkuu wa Wilaya enzi ya awamu ya nne, mama Betty Mkwasa na mumewe Charles Boniface Mkwasa yafikia miaka 35.
Master!Mwanahabari mkongwe na aliyepata kuwa Mkuu wa Wilaya enzi ya awamu ya nne, mama Betty Mkwasa na mumewe Charles Boniface Mkwasa yafikia miaka 35.
Charles Boniface Mkwasa mchezaji na kocha wa zamani alioana na Betty mwaka 1990 na wawili hao wamejaaliwa watoto kadhaa.
Vijana wa zama hizi tunafeli wapi kwenye ndoa zetu? Tutumie mfano wa ndoa hii kama sehemu ya kuvumiliana kwenye changamoto mbalimbali.
View attachment 3204476
KweliWajitahidi wasije kuachana uzeeni.
Maana kuna wazee bila aibu nao huachana.
mmoja alikubali kuwa boya.Watupe Siri ya mafanikio