Ndoa ya mtangazaji mkongwe Betty Mkwasa na Charles Boniface Mkwasa “Master” yafikisha miaka 35, wapo imara na wanasonga mbele

Wanawake wengi wa zamani walitumia majina ya waume zao🤔🤔
 
JK alikuwa anawakuta wapi Hawa wadada?? Nimeuliza tu
Huyo alienda kugombania ubunge huku akiwa na kipindi ITV kikiitwa "UKIMWI NI HUU" sasa wajumbe wakamtwanga swali badala ya kujibu akaanza kulia, JK ndio akamfuta machozi
 
Attachments

  • 5933262-0291b2ca9c7d3b297e2c695a9fc8f5a7.mp4
    4.5 MB
Huyo alienda kugombania ubunge huku akiwa na kipindi ITV kikiitwa "UKIMWI NI HUU" sasa wajumbe wakamtwanga swali badala ya kujibu akaanza kulia, JK ndio akamfuta machozi
Haya mkuu! Alimkutaga wapi chura kiziwi
 
Back
Top Bottom