Ndoa Ya Muuza Chakula (Shilole) na Mpiga Foto (Tommy D) Inakaribia Kuvunjika

Ndoa Ya Muuza Chakula (Shilole) na Mpiga Foto (Tommy D) Inakaribia Kuvunjika

Wanaume acheni kuolewa na wanawake wenye visenti...mwanamke akishakuzidi visenti uwezi kumcontrol km mwanaume..wanawake wameumbiwa ego wakiwa na hela
 
Anahitaji msaada wa kisaikolojia. Ila shilole ni mwanamke mzuri sana.

Kuna maisha alipitia yakashape akili yake kuwa aggressive kitu ambacho hakuna mwanaume aliyekamilika hata mwanaume nusu kilo anapenda. Wazungu wanaita 'daddy issues'.

Ukitaka kujua hili tazama namna anapenda kuwa mke wa mtu, namna anapenda ndoa na namna huwa anapenda jamii imuone ni mke wa fulani ila balaa linakuja kwenye kumaintain.

Angepata therapy mapema angekuwa stable ila kwa sasa ni kama amechelewa kwa kile anachotamani. Hii kitu inawakuta mabinti wengi miaka hii na namba itaongezeka miaka ijayo.

But ni mwanamke mzuri, ana mapenzi ya kujitoa na anapenda kuwa mke wa mtu ila shida hayupo tayari kuwa chini ya mwanaume wake ndio maana unaona anatafuta pesa zake mwenyewe na anatafuta sana mahusiano na vijana aliowazidi umri ili iwe rahisi kuwa control na kuwadominate ila hawa vijana wakishaanza kukomaa kiakili (kuanzia miaka 30) then balaa linaanza wanamrudi maana hormones za uanaume zinachachamaa.

Mifano mingine ni akina Aunt Ezekiel, J. Wolper, etc. Ni ngumu sana kureverse nature once ikisha amua path ya destination ya maisha yako.
Hawa Malaya wote uliowataja hapa Wana vibabu vyao vya miaka mingii! Wakiitwa nao ata Kama walikuwa Wana fanya mchezo wa matusi na hao viben ten vyao watachomoa na Kuitikiawito wao kwao- Uchebe alikuwa Ana kaa na watoto ata wiki bibie yupo na vibabu vyake. Akavumilia akachoka akawa anampa vitasa vya nguvu bibie mpaka wakaachana, aunt Ezekiel na Iyobo same same....,.hii mimalaya iliyokubuu aiwezi acha .Ata huyu dada wa taifa alikuwa anamwacha Diamond magetoni kuendea kwa vibabu vyake.Yule Dogo wa Arusha nae ipo siku atalipa na Kusaga meno! Dogo Janja nae alisanuka.....akasepa zake toka kwa Uwoya....hii midubwana Ina wazee wanaowaweka mjini na Wana mahusiano nao mpaka Sasa na awaachani na sio mzee mmoja so ata Kama unamjua mmoja ukitumaini akifa utakuwa na mahusiono yenye amani umekula kwako.🤣
 
Hawa Malaya wote uliowataja hapa Wana vibabu vyao vya miaka mingii! Wakiitwa nao ata Kama walikuwa Wana fanya mchezo wa matusi na hao viben ten vyao watachomoa na Kuitikiawito wao kwao- Uchebe alikuwa Ana kaa na watoto ata wiki bibie yupo na vibabu vyake. Akavumilia akachoka akawa anampa vitasa vya nguvu bibie mpaka wakaachana, aunt Ezekiel na Iyobo same same....,.hii mimalaya iliyokubuu aiwezi acha .Ata huyu dada wa taifa alikuwa anamwacha Diamond magetoni kuendea kwa vibabu vyake.Yule Dogo wa Arusha nae ipo siku atalipa na Kusaga meno! Dogo Janja nae alisanuka.....akasepa zake toka kwa Uwoya....hii midubwana Ina wazee wanaowaweka mjini na Wana mahusiano nao mpaka Sasa na awaachani na sio mzee mmoja so ata Kama unamjua mmoja ukitumaini akifa utakuwa na mahusiono yenye amani umekula kwako.[emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa wao c wanataka kulelewa? Watulizanee.
 
Back
Top Bottom