Ndoa Ya Muuza Chakula (Shilole) na Mpiga Foto (Tommy D) Inakaribia Kuvunjika

Wanaume acheni kuolewa na wanawake wenye visenti...mwanamke akishakuzidi visenti uwezi kumcontrol km mwanaume..wanawake wameumbiwa ego wakiwa na hela
 
Hawa Malaya wote uliowataja hapa Wana vibabu vyao vya miaka mingii! Wakiitwa nao ata Kama walikuwa Wana fanya mchezo wa matusi na hao viben ten vyao watachomoa na Kuitikiawito wao kwao- Uchebe alikuwa Ana kaa na watoto ata wiki bibie yupo na vibabu vyake. Akavumilia akachoka akawa anampa vitasa vya nguvu bibie mpaka wakaachana, aunt Ezekiel na Iyobo same same....,.hii mimalaya iliyokubuu aiwezi acha .Ata huyu dada wa taifa alikuwa anamwacha Diamond magetoni kuendea kwa vibabu vyake.Yule Dogo wa Arusha nae ipo siku atalipa na Kusaga meno! Dogo Janja nae alisanuka.....akasepa zake toka kwa Uwoya....hii midubwana Ina wazee wanaowaweka mjini na Wana mahusiano nao mpaka Sasa na awaachani na sio mzee mmoja so ata Kama unamjua mmoja ukitumaini akifa utakuwa na mahusiono yenye amani umekula kwako.🤣
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa wao c wanataka kulelewa? Watulizanee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…