Ndoa ya wake wengi si haki kwa Wazungu, kwa nini?

Wazungu hawa mind mambo hayo japo yanaruhusiwa. Unaona hata kuzaa, wao huzaa wastani wa watoto wawili. Ni wachumi sana katika jambo hilo. Kwa baba yangu wamezaliwa kwa mama yao 12 na kwao mama yangu kwa mama yao wamezaliwa 14. Huwezi kuikuta kwa nchi za Ulaya hiyo, ndo maana kwao kuoa mke mmoja anatosha!
 
Hawana time. Wako busy. Baadhi ya wabongo wanamind mapenzi zaidi ya kazi ndo maana tupo nyuma kimaendeleo.

Wewe msemakweli unakumbuka wale maadui wakuu wa watz wewe huyo mapenzi anaangukia wapi
 
Wazungu hata mke mmoja wameshindwa, wamekuja na ndoa za jinsia moja. Wengi wao hufanya mapenzi once a month, wengine once a week
 
kuoa mke mmoja ni kujishusha kwa mwanaume,mbwa guzaa mpaka watoto kumi lakini mbwa hawajawahi kuwawengi duniani pamoj na kuwa mbwa haliwi.mungu kaleta wanawake wengi kwa ajili maalum na wenye akili tunajua.

Ahahahhaaah! Ndio Boscontaganda! Sawa kabisa. Mm nimekuelewa. Hahahahaaaaa!
 
Baadhi yao huoa wanawake wengi kwa nyakati tofauti
 

simu yangu inasumbua ila baadae nikufundisha nini Uislamu.Nalog off
 
kuoa mke mmoja ni kujishusha kwa mwanaume,mbwa guzaa mpaka watoto kumi lakini mbwa hawajawahi kuwawengi duniani pamoj na kuwa mbwa haliwi.mungu kaleta wanawake wengi kwa ajili maalum na wenye akili tunajua.

Mwananke msomi na mwenye akili timamu hawezi kukubali ujinga wa rungu yake apigiwe mtu mwingine.
 
mungu alisema kila mtu ataambatana na mke wake siyo wake zake. mungu alimtafutia adam msaidiz mmoja siyo wengi.

kiuhalisia wake wengi uleta umasikin na ugomvi tu
 
kila sehemu kuna utamaduni wake tatizo la wengi wetu tunaona kila anachofanya mzungu ni sahihi sisi kama tamaduni zetu ni kuoa mke mmoja na haituletei matatizo lakini kama wazungu wameruhusu ndoa za jinsia moja hatutakiwi kuzifata ndio maana nashangaa sana hizi ngo wanavyopiga kelele kutulazimisha kufata kila wanachofanya wazungu wakidai ni haki za binadamu ingawa kiukweli sio haki za binadamu kama wanavyodai
 
Kwa vyovyote vile iwavyo (frankly speaking) hakuna mwanamke anayependa uke wenza.
 
Haki sawa ni jinsi unavyoishi wewe hapa duniani hakuna haki sawa labda mbinguni,kwani mangapi wao hawatendi haki sawa,mbona wanatuibia na hawasemi haki sawa? mbona wanawachukia waarabu na wanawafanyia mambo yasiyo ya haki sawa? ...haki sawa kwangu ni sawa na upuuzi wa akiri tu
 
Lakini sio kweli kwamba sheria zinakataza.
Mjuni, usidanganye watu. Marekani unafungwa kbs iwapo utagundulika una mke zaidi ya mmoja, iwe dini yako inaruhusu ama la! The same applies to UK laws.
 
Ndoa ya mke zaidi ya mmoja ni haramu kwa mkristo..!

Uharamu umetokea wapi ...

Kuna ushahidi kibao kutoka katika Bible kwamba Manabii wa mwenyezimungu walikuwa na wake zaidi ya mmoja


Exodus 21:10, a man can marry an infinite amount of women without any limits to how many he can marry.
2 Samuel 5:13; 1 Chronicles 3:1-9, 14:3, King David had six wives and numerous concubines.
1 Kings 11:3, King Solomon had 700 wives and 300 concubines.
2 Chronicles 11:21, King Solomon's son Rehoboam had 18 wives and 60 concubines.
Deuteronomy 21:15 "If a man has two wives, and he loves one but not the other, and both bear him sons...."




 
Sio kweli, hakuna nchi iliyoharamisha ndoa ya wake zaidi ya mmoja, ungesema tu kuwa raia wa nchi hizo hawaoni kama ni jambo la maana kuoa wake wengi, Lakini sio kweli kwamba sheria zinakataza.
Kweli kaka, kwani hata hao walioruhusiwa kuoa mke zaidi ya mmoja, si wote wanafanya hivyo. Wapo wenye mke mmoja mpaka mauti yanapowakuta. Hakuna dhambi kuwa na mke mmoja
 
Ndoa ya mke zaidi ya mmoja ni haramu kwa mkristo..!

Mkristo yupi yule aliyekutwa na bikira yake au hawahawa wanaochocholewa na kila mtu? mambo ya kujiongopea tu hayo hakuna ndoa ya mke mmoja duniani watu wanagegedana kama wanyama halafu wanahubiri wasichokiishi au ndoa ni kile cheti kinachotolewa na kasisi shoga?
 

Serikali za ulaya hazijawahi kupinga hicho kitu hata siku moja bali imani(dini) ndo zinapinga nikimaanisha ukristo.Hebu nambie Uturuki iko ktk bara gani na jee hakuna ndoa za wake wengi kule au hukui lile ni taifa la kiislam?
Kikubwa zaidi habari hii ni siasa au kwani hili ni jukwaa la siasa
 
Mjuni, usidanganye watu. Marekani unafungwa kbs iwapo utagundulika una mke zaidi ya mmoja, iwe dini yako inaruhusu ama la! The same applies to UK laws.
Acha kusikiliza story za mtaani, Uingereza na Marekani ni mataifa ambayo watu wa imani zote, itikadi zote na mitazamo yote wanaruhusiwa kuishi kwa furaha na amani, Marekani kuna hadi majimbo wanaruhusiwa kuvuta bange hadharani, hebu tupe hivyo vifungu vya sheria vinavyozuia mtu kuoa mke zaidi ya mmoja.
 
mungu alisema kila mtu ataambatana na mke wake siyo wake zake. mungu alimtafutia adam msaidiz mmoja siyo wengi.

kiuhalisia wake wengi uleta umasikin na ugomvi tu
Topic sio hiyo mkuu, swala ni je, kweli mataifa ya magharibi yameharamisha polygamy?(ndoa ya mke zaidi ya mmoja) Idimi​ anataka kutuletea story za mitaani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…