Wazungu achana nao ni mashetani wanaweza kufunga ndoa hata na mbwa na wakasema ni haki.Nimekuwa najiuliza kwa nini haki za binadamu za ki-Magharibi hazikubali ndoa za mke zaidi ya mmoja?
Nchi kadhaa za Ulaya zimeharamisha ndoa za mke zaidi ya mmoja, japo ziko tayari kuruhusu matumizi ya bangi na ndoa za jinsi moja, kwa mfano!
Nchi hizo katika kutetea haki za binadamu zinapinga adhabu ya kifo na zinatetea sana uhuru na haki za mtu binafsi. Lakini inapokuja kwenye mwanaume kuoa mke zaidi ya mmoja haikubaliki, kwa nini?
Nimekuwa najiuliza kwa nini haki za binadamu za ki-Magharibi hazikubali ndoa za mke zaidi ya mmoja?
Khaa!! umechanganya mambo kwelikweli. mapenzi, ndoa na unyumba ni vitu tofauti. Ndoa ni jambo la kisheria. Mapenzi ni hisia. Unyumba ni hitaji la mwili :shocked:True love has always been undivided!
Nimekuwa najiuliza kwa nini haki za binadamu za ki-Magharibi hazikubali ndoa za mke zaidi ya mmoja?
Nchi kadhaa za Ulaya zimeharamisha ndoa za mke zaidi ya mmoja, japo ziko tayari kuruhusu matumizi ya bangi na ndoa za jinsi moja, kwa mfano!
Nchi hizo katika kutetea haki za binadamu zinapinga adhabu ya kifo na zinatetea sana uhuru na haki za mtu binafsi. Lakini inapokuja kwenye mwanaume kuoa mke zaidi ya mmoja haikubaliki, kwa nini?
vipi kuhusu ndoa ya jinsia moja,maana nasikia ndoa hizi zinaruhusiwa ktk baadhi ya makanisa.
Mwananke msomi na mwenye akili timamu hawezi kukubali ujinga wa rungu yake apigiwe mtu mwingine.
Nimekuwa najiuliza kwa nini haki za binadamu za ki-Magharibi hazikubali ndoa za mke zaidi ya mmoja?
Nchi kadhaa za Ulaya zimeharamisha ndoa za mke zaidi ya mmoja, japo ziko tayari kuruhusu matumizi ya bangi na ndoa za jinsi moja, kwa mfano!
Nchi hizo katika kutetea haki za binadamu zinapinga adhabu ya kifo na zinatetea sana uhuru na haki za mtu binafsi. Lakini inapokuja kwenye mwanaume kuoa mke zaidi ya mmoja haikubaliki, kwa nini?
I'm referring to true marriage not otherwise!!!!!!!Khaa!! umechanganya mambo kwelikweli. mapenzi, ndoa na unyumba ni vitu tofauti. Ndoa ni jambo la kisheria. Mapenzi ni hisia. Unyumba ni hitaji la mwili :shocked:
Then!!!!!!!!!!?hata watoto wako huwezi kuwapenda kwa kiwango sawa lakini siyo kuwa wengine unawachukia
Ndoa ya mke zaidi ya mmoja ni haramu kwa mkristo..!
Kama ilivyo kwa baadhi ya misikiti kufungisha ndoa ndoa za njinsia moja. Uliza ujibiwe.
I'm referring to true marriage not otherwise!!!!!!!
Shame up on u!!
Khaa!! umechanganya mambo kwelikweli. mapenzi, ndoa na unyumba ni vitu tofauti. Ndoa ni jambo la kisheria. Mapenzi ni hisia. Unyumba ni hitaji la mwili :shocked:
Khaa!! kwa akili yako ya kitumwa lazima uone hivyo. jaribu kufikiri ukiwa huru:A S 39:Kama unayatenganisha hayo yaani, unyumba, sheria na hisia, then you can be sure that you are schizophrenic!!!!
Khaa!! Achana na hizo stories. Hivi hauwezi kujenga mfumo wako unaokufaa zaidi ya kufuata mambo ya waarabu na wazungu??:A S 39:mungu alisema kila mtu ataambatana na mke wake siyo wake zake. mungu alimtafutia adam msaidiz mmoja siyo wengi.
kiuhalisia wake wengi uleta umasikin na ugomvi tu
Mwananke msomi na mwenye akili timamu hawezi kukubali ujinga wa rungu yake apigiwe mtu mwingine.
mkulu ana vimada wangapi?
hata watoto wako huwezi kuwapenda kwa kiwango sawa lakini siyo kuwa wengine unawachukia