Ndoa ya Wastara yadaiwa kuvunjika, mumewe afafanua kilichotokea

Status
Not open for further replies.
Duuuh! Hizi ndoa zingine rahisi kufungwa na rahisi kuvunjika.

Dah huyu Dada mbona anapitia mitihani migumu hivi!? Nimesikia uchungu mno baada ya kuona kwenye mitandao kuhusu kuvunjika kwa ndoa yake na nikapata uthibitisho kwenye radio kipindi cha dida. Kwanza kabisa namuombea apone then mengine ndo yatafuata.
 
Wrong choice huwa zinagharimu sana,amtangulize mwenyezi Mungu ili amjalie mume mwema bila ya kujali kama atakuwa ni mtu maarufu au la,lakini akiendelea kufikiri kuwa yeye kaumbiwa wanaume wa aina fulani tu wataendelea kumtosa kila kukicha.
 
dini haihusiani na mambo ya wastara huyu mwanamke atulie tulii maana anaelekea ana ndege ama akamwombe aliyemkosea msamaha kuna tatizo mahali sio bure.... na inawezekana analifahamu
 
Watu wameng'ang'ania tu ni gundu
but kisaikolojia Wastara asingeweza kabisa kuji tune na mtu mwingine baada ya kifo cha mumewe
anapaswa kujipa mda apone machungu...
hajapona bado ule msiba....mtu yeyote atakae muoa sasa atashindwa tu kuenda nae

ule msiba umemuathiri sana bado.....
 

Usiuhukumu Uislamu kwa kuangalia makosa ya waislamu,talaka katika uislamu ni hatua ya mwisho kabisa baada ya suluhu kukosekana,na talaka ina utaratibu pia. Talaka inatakiwa itolewe pale ambapo inaonekana hamna tena namna ya wanandoa kuendelea kuishi pamoja,hao wanaotumia talaka kama mwavuli wa kuoa asubuhi na kuacha jioni wanakosea,na makosa yao yasikufanye uhukumu kuwa ndivyo uislamu umeelekeza. Ni sawa pia kuwa hatuwezi kulihukumu kanisa kwa ajili ya watu wachache wanaotumia makanisa kufungisha ndoa za jinsia moja,tutakuwa hatujatenda haki,hali kadhalika tusihukumu uislamu kwa makosa ya watu wanaotumia vibaya sheria za kiislamu.
 
Mume wake katiririka huko Instagram ha ha haaaaa mh ukioa bongo movie automatically nawe unakuwa msanii mana si kwa kufunguka kule mh. Mbunge[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mume wake katiririka huko Instagram ha ha haaaaa mh ukioa bongo movie automatically nawe unakuwa msanii mana si kwa kufunguka kule mh. Mbunge[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
anaiwtwa nani nikazoe umbea fasta
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…