Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,317
mmoja sajuki alifariki ... sasa hizi 5 mmmhDuh basi moja kwa moja atakuwa na Shida maana haiwezekani Kati ya sita wrote wawe na matatizo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mmoja sajuki alifariki ... sasa hizi 5 mmmhDuh basi moja kwa moja atakuwa na Shida maana haiwezekani Kati ya sita wrote wawe na matatizo.
Dah huyu Dada mbona anapitia mitihani migumu hivi!? Nimesikia uchungu mno baada ya kuona kwenye mitandao kuhusu kuvunjika kwa ndoa yake na nikapata uthibitisho kwenye radio kipindi cha dida. Kwanza kabisa namuombea apone then mengine ndo yatafuata.
Duh! Au alizidi kujishaua....???Aliingilia nyumba ya yenyewe!
dini haihusiani na mambo ya wastara huyu mwanamke atulie tulii maana anaelekea ana ndege ama akamwombe aliyemkosea msamaha kuna tatizo mahali sio bure.... na inawezekana analifahamuMkuu mimi ni mkristo Lakini sidhani kwa ishu ya wastara kama tatizo ni dini.Ukipitia historia ya kuolewa ya wastara hii ni ndoa ya sita anaachika ukimtoa marehemu sajuki ambaye hakumuacha ila kifo ndo kiliwatenganisha.
Vyovyote vile wastara atakuwa na some problems maana haiwezekani katika sita wote asipate wa kuendana naye.
Na ushauri wa bure kwa wastara anatakiwa ajitambue kuwa ndoa kwake ni tatizo hivyo aishi tu bila ndoa akubali matokeo Hanna jipya tena kwenye ndoa ameshaolewa sana atulie alee watoto wake.
Kwa hiyo wewe unaona sawa tu mtu anaoa siku kabla ya ramadhani ili apate wa kumpikia futari then after hapo ikiisha anaachana. Huo ndo weledi ambao Allah wenu anataka??? Mbona mnalazimisha kuufanya uislam ukose mashiko??? Sawa wakristu/wakatolic talaka imeruhusiwa lakini si rahisj kiivyo na irachukua muda kufikia talaka, sio kama ninyi just one night. Hujiulizi kwanini siku hizi wadada wengi wa kiislam hawataki ndoa za kiislamu????
Mbona alisema yeye na mke mwenzake wanaishi vizuri tu, na tena walipiga picha pamojaongeeni yote lakini nahisi kapigwa KIPAPAI NA MKE MWENZA
Duh! Au alizidi kujishaua....???
Sababu kuu ni mahusiano yake na bond bin sinon! isevu hiyoo!Imevunjika kwa sababu zipi?yamkini yeye ndo mwenye shida!
Yule jamaa wa chaneli kumi?ndio jibu hilo! pigia mstari! halafu juu ya mstari andika bond bin sinon!
anaiwtwa nani nikazoe umbea fastaMume wake katiririka huko Instagram ha ha haaaaa mh ukioa bongo movie automatically nawe unakuwa msanii mana si kwa kufunguka kule mh. Mbunge[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Linamo hapo juu kamwaga ubuyuanaiwtwa nani nikazoe umbea fasta