Ndoa ya Wastara yadaiwa kuvunjika, mumewe afafanua kilichotokea

Status
Not open for further replies.
Mmmmmmmhhh kazi ipo..... sasa mme kafunguka hatarii [emoji124] [emoji124]
 
Ajisalimishe kwa BWANA YESU. >> Njooni kwangu ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na Mizigo nami nitawapumzisha.(Matayo 11:28)
 


sasa sielewi wameachana ama vepee tehetehe huyu mzee kapewa makavu insta kubaya sana .... anatuhuma za kubembea nje ya 'ndowa' hahahahaha
 
Hawa ndo waliompump ha ha haaa insta sio mahala salama walahi tena
 


sasa sielewi wameachana ama vepee tehetehe huyu mzee kapewa makavu insta kubaya sana .... anatuhuma za kubembea nje ya 'ndowa' hahahahaha
Insta kama hujulikani fanya kituko kimoja tu utajulikana ndani ya sekunde na utapata followers wakutosha wabongo wa insta hawana hiyana kuchamba ndo Kazi yao
 
Usisahau kununua movie mpya ya wastara imetoka wiki hii #kiki
 
Hawa watu wanapata wapi ujasiri wa kumtukana sadifa mitandaoni? wanashangaza kwa kweli.
 
Wastara kama haya aliyosema mumeo ni ya kweli, basi hata sajuki alikuvumilia sana, na ile heshima iliyokuwepo kwao imefutika kabisa maskini. Kwa nini upeleke mambo ya ndani redioni? au ndio kujiwahi kuficha maovu yako jamii ikuonee huruma? mh. pole sana
 
Duh kweli haya mambo ya walimwengu sijuti kuipenda JF
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…