hivi warumi huwa unapata wapi hizi habari? wewe ni ke au me?Ubuyu unaoenea kwa siri kwenye mitandao ya kijamii kwa sasa, ni kuhusu ndoa ya super star wema sepetu inayotarajiwa kufungwa ivi karibuni. Chanzo cha ubuyu kinaeleza kuwa hatua zote muhimu zimeshachukuliwa, kinachosubiriwa tu ni bwaba harusi huyo mtarajiwa kuchukua jiko lake bila kipingamizi chochote. Mpaka sasa ivi bado mume huyo mtarajiwa wa staa huyo hajawekwa wazi kwa kuogopa watu wabaya kumfanyia fitna.
Mpaka sasa management yake inafanya siri kubwa kuhusu tukio hilo muhimu litakalobadilisha title na heshima ya msanii huyo.
Mi namuonea huruma tu huyo mwanaume
Mi namuonea huruma tu huyo mwanaume
hivi warumi huwa unapata wapi hizi habari? wewe ni ke au me?
Mh wachawi tunasubir kama yaliyomo yamo
Hahahajaja jamaa Amesema Mumfuate PM
ukumbi umebadilishwa au no pale pale uwanja wa taifa?Hiyo ndoa kila siku inayoongelewa sijui ndoa gani isiyofungwa.Na tusubiri bwana labda yatakuwemo.
Hiyo ndoa kila siku inayoongelewa sijui ndoa gani isiyofungwa.
Na tusubiri bwana labda yatakuwemo.
pwanya road hawana siri wangeshasemaMi namuonea huruma tu huyo mwanaume
mambo ya pm sio bana, ajibu apa kila mtu ajue, maana huyu dogo utadhani anaishi chumba kimoja na wema, anazijua siri zake mpaka za moyoni
Ubuyu unaoenea kwa siri kwenye mitandao ya kijamii kwa sasa, ni kuhusu ndoa ya super star wema sepetu inayotarajiwa kufungwa ivi karibuni. Chanzo cha ubuyu kinaeleza kuwa hatua zote muhimu zimeshachukuliwa, kinachosubiriwa tu ni bwaba harusi huyo mtarajiwa kuchukua jiko lake bila kipingamizi chochote. Mpaka sasa ivi bado mume huyo mtarajiwa wa staa huyo hajawekwa wazi kwa kuogopa watu wabaya kumfanyia fitna.
Mpaka sasa management yake inafanya siri kubwa kuhusu tukio hilo muhimu litakalobadilisha title na heshima ya msanii huyo.
Haya maswali ya jinsia yananichosha , vyovyote utakavyofikiria sawa tu, kuwa huru binamu.