Ndoa ya Wema Sepetu yazua gumzo mjini

Ndoa ya Wema Sepetu yazua gumzo mjini

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Ubuyu unaoenea kwa siri kwenye mitandao ya kijamii kwa sasa, ni kuhusu ndoa ya super star Wema Sepetu inayotarajiwa kufungwa hivi karibuni.

Chanzo cha ubuyu kinaeleza kuwa hatua zote muhimu zimeshachukuliwa, kinachosubiriwa tu ni bwaba harusi huyo mtarajiwa kuchukua jiko lake bila kipingamizi chochote.

Mpaka sasa hivi bado mume huyo mtarajiwa wa staa huyo hajawekwa wazi kwa kuogopa watu wabaya kumfanyia fitna.

Mpaka sasa management yake inafanya siri kubwa kuhusu tukio hilo muhimu litakalobadilisha title na heshima ya msanii huyo.
 
Ubuyu unaoenea kwa siri kwenye mitandao ya kijamii kwa sasa, ni kuhusu ndoa ya super star wema sepetu inayotarajiwa kufungwa ivi karibuni. Chanzo cha ubuyu kinaeleza kuwa hatua zote muhimu zimeshachukuliwa, kinachosubiriwa tu ni bwaba harusi huyo mtarajiwa kuchukua jiko lake bila kipingamizi chochote. Mpaka sasa ivi bado mume huyo mtarajiwa wa staa huyo hajawekwa wazi kwa kuogopa watu wabaya kumfanyia fitna.

Mpaka sasa management yake inafanya siri kubwa kuhusu tukio hilo muhimu litakalobadilisha title na heshima ya msanii huyo.
hivi warumi huwa unapata wapi hizi habari? wewe ni ke au me?
 
Hiyo ndoa kila siku inayoongelewa sijui ndoa gani isiyofungwa.
Na tusubiri bwana labda yatakuwemo.

MMh!! Namuonea huruma tu huyo husband wake maana mama ubaya anavyopenda maisha mazuri na kula bata mmh!! ,halafu nasikia ni katoto tu kana pesa chafu za urithi wa baba ake sijui kweli au umbea tu, ebu tusubir
 
Hivi Wazazi gani Watakubali Mwanae Aoe kwa Bango lile la Wema Sepetu instagram na Kwenye Magazeti..

Labda kama Hana Wazazi na Ndugu.. La Sivyo hii habari ni Tetesi tu za Hisia za Watu
 
Ubuyu unaoenea kwa siri kwenye mitandao ya kijamii kwa sasa, ni kuhusu ndoa ya super star wema sepetu inayotarajiwa kufungwa ivi karibuni. Chanzo cha ubuyu kinaeleza kuwa hatua zote muhimu zimeshachukuliwa, kinachosubiriwa tu ni bwaba harusi huyo mtarajiwa kuchukua jiko lake bila kipingamizi chochote. Mpaka sasa ivi bado mume huyo mtarajiwa wa staa huyo hajawekwa wazi kwa kuogopa watu wabaya kumfanyia fitna.

Mpaka sasa management yake inafanya siri kubwa kuhusu tukio hilo muhimu litakalobadilisha title na heshima ya msanii huyo.

Duh wanaume tuna kazi aisee yaani wema kweli?
Inahitaji uvumilivu maana kila kitu kwenye mwili wa wema kimesha deteriorate kuanzia papuchi etc.
Mcharuko kuanzia yeye mwenyewe hadi mama yake
 
Back
Top Bottom