Ndoa ya Wema Sepetu yazua gumzo mjini

Wema ndiye aliyemuacha diamond kama ulikuwa hujui tena jaribu kuandika kitu ulichofanyia research .Ata diamond alishawahi kukili kwenye media kwamba wema ndiye aliyemuacha.

Kumbe haukumsikia redioni anasema alimtumia sms Diamond na hakumjibu hadi kesho? Hiyo ni mwezi huu redioni.
Labda haujamwelewa mbongopopo alimaanisha nini kwa post yake.
 
Last edited by a moderator:
Alimtumia kumpa pole ya kuuguza mama yake diamond nasiyo ya mapenzi.Wema hana shida na diamond tena yupo na mambo yake tena yanamueendea vzr sana.Na familia yote inamsupport.

Hadi nimecheka kwanini hakumpa pole kupitia Esma mkewe Petit. Mapenzi mchezo mwingine yanaumaaaaaaaa kama yanavyomuuma na kukimbizwa.

Mtu ukimuacha mwenzio vibaya ni bye bye no kutafutana tena kwa hili au lile.
 
Hahahahahahaha siyo kosa lako .Acha kukalili kuwa kila mkiachana hamna salamu wala jambo....au ww pia wa tanda..
Hadi nimecheka kwanini hakumpa pole kupitia Esma mkewe Petit. Mapenzi mchezo mwingine yanaumaaaaaaaa kama yanavyomuuma na kukimbizwa.

Mtu ukimuacha mwenzio vibaya ni bye bye no kutafutana tena kwa hili au lile.
 
Naona wanajambisha watu uko insta utadhan ye ndo mwanamke wa kwanza kuolewa mxiuuui, namuonea huruma huyo jamaa kuoa kopo
​Sasa kama wema kopo na huyo shemeji yetu zari si atakua debe kabisa au pipa ..nyani haoni kundule!!
 
​watu wanamsifia diamond but huyo jamaa kua na huyo mama amebugi big time...,,kwa kifupi amelost na imekula kwake just wait and see...huyo bwa mdogo hakutakiwa kuuvaa huo mkenge wa kiganda..time will tell.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…