mzurimie
JF-Expert Member
- Oct 16, 2011
- 6,143
- 3,625
Wema ndiye aliyemuacha diamond kama ulikuwa hujui tena jaribu kuandika kitu ulichofanyia research .Ata diamond alishawahi kukili kwenye media kwamba wema ndiye aliyemuacha.
Kumbe haukumsikia redioni anasema alimtumia sms Diamond na hakumjibu hadi kesho? Hiyo ni mwezi huu redioni.
Labda haujamwelewa mbongopopo alimaanisha nini kwa post yake.
Last edited by a moderator: