Ndoa ya Wema Sepetu yazua gumzo mjini

Kuna mtu kaandika kaka meneja kasafiri hakuwepo....eti advert ya dawa ya meno...eti bi harusi gani aachi pete za kila siku je ni kawaida kutozivua kweli ya ndoa ing'ae?...kumekucha...bora arushe picha zote kama zipo kweli...Z anachemsha mtu hivi duh
 
Kula like mkuu
​watu wanamsifia diamond but huyo jamaa kua na huyo mama amebugi big time...,,kwa kifupi amelost na imekula kwake just wait and see...huyo bwa mdogo hakutakiwa kuuvaa huo mkenge wa kiganda..time will tell.
 
Piga kazi wema sepetu majungu waachie wengine
Kuna mtu kaandika kaka meneja kasafiri hakuwepo....eti advert ya dawa ya meno...eti bi harusi gani aachi pete za kila siku je ni kawaida kutozivua kweli ya ndoa ing'ae?...kumekucha...bora arushe picha zote kama zipo kweli...Z anachemsha mtu hivi duh
 
Umeonaee yaani wao wanamuona zari kama bikra.....waulize waganda na nigeria zari ni nani halafu ndio wamlinganishe na madame wetu.Wema yuko juu
​Sasa kama wema kopo na huyo shemeji yetu zari si atakua debe kabisa au pipa ..nyani haoni kundule!!
 
Huyo mme ategemee movie ktk maisha.
Bila kusahau misosi zote kuzikuta Blobal Publishers.
 
Yaani muoaji aka mume mtarajiwa hajawekwa wazi... Sasa huyu anaoa au anaolewa
 
Zari kalala huku watumwa wakichakarika hahahahha, mondo utajuta kuwafaham waganda
 
Attachments

  • 1430251576978.jpg
    69.1 KB · Views: 439
Kwa nn mme yaleta hapa? Mbona anavyodungwa huwa tunafahamu au ww ndie huwa una mnyanyulia?

Yess mi nanyanyua we ndo unaingia, vip tupe experience basi, acha chuki we kijana au alikunyima papuchi
 
Huyo mme ategemee movie ktk maisha.
Bila kusahau misosi zote kuzikuta Blobal Publishers.
Sasa hivi hizo misosi za zari na domo ni wema ndo anazipeleka Global publishers na mitandaoni????au domo ndo anapenda kujiweka huko ??chezea kukulia tandale wewe unaona the world is yours!!!siku atakapo angukia pua ndio atashika adabu yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…