mzurimie
JF-Expert Member
- Oct 16, 2011
- 6,143
- 3,625
Kuna mtu kaandika kaka meneja kasafiri hakuwepo....eti advert ya dawa ya meno...eti bi harusi gani aachi pete za kila siku je ni kawaida kutozivua kweli ya ndoa ing'ae?...kumekucha...bora arushe picha zote kama zipo kweli...Z anachemsha mtu hivi duh