Aaaha jana mashetani yalinipanda kidogo
Aaaha jana mashetani yalinipanda kidogo
huo ndo ulikua ukumbi wa awalihahaha uwanja wa taifa??? hiyo kali
acha uongo pwanya road ha ha ha nanyie waongo kama boss wenu et ana nyumba ya m400 pyeeeeee buku per post kwa hela ipi labda angekua bado yupo kwenye himaya ya babu clement ga ha haHii ni kazi....buku kwa kila post ya kumtetea kwa siku namtetea mara zaidi ya ishirin ni twent thousand.... heheheeeee ngoja niendeleee na kibarua changu shooo......
ha ha ha yan nmecheka hiyo picha director kavurugwaHaya oneni watu wanataka haribia kazi wengine, badala ya kutangaza filamu wanadai ni ndoa yao....Kweli wizi mtupu huoInasikitisha sana kisa Diamond na Zari. Ndio mwanamke udakie kazi za watu kuita harusiii...mkome kumuitia kazi hana soko tafuteni wasanii wapya muwapaishe sasa...
ha ha ha yan nmecheka hiyo picha director kavurugwa
Jana nilichamba wewe, niligeuka team director, khaaa nilitoa dozi ya maana, yani hawa team wema dawa yao nishaijua, wakiingia kwenye kumi na nane zangu nitawafuraisha, maana kule hamna ban
nitag bas nkaone nakupm idYaani kavurugwa haswa, sasa wanamtukana utazani huyo w hataki kula..wadau wake anaowasifia wanatukana sana uwiiiii. akiendelea nao ila kuwakemea atazidi kushaka hadhi labda kupanda kwenye vigodoroooo tu....na alirusha jana usiku kashindwa kulala full kusikiliza love songs sasa mtu aliyeolewa na kudanganya wananchi kuwa kaolewa kisa wivu ....mbavu zangu atulie tu kimya
bora bwawa lina samaki watatu na wanne yupo njiani hurrreeeiii....wema?simaliziii
mambo ya pm sio bana, ajibu apa kila mtu ajue, maana huyu dogo utadhani anaishi chumba kimoja na wema, anazijua siri zake mpaka za moyoni
acha uongo pwanya road ha ha ha nanyie waongo kama boss wenu et ana nyumba ya m400 pyeeeeee buku per post kwa hela ipi labda angekua bado yupo kwenye himaya ya babu clement ga ha ha
acha uongo pwanya road ha ha ha nanyie waongo kama boss wenu et ana nyumba ya m400 pyeeeeee buku per post kwa hela ipi labda angekua bado yupo kwenye himaya ya babu clement ga ha ha
Director kasema....
Huyo director nae walewale tu kina ndala ndefu mdomo mrefu chuchunge kasingiziwa!
Kama mtu kaamua kujipa maflag whatsoever kwa sababu zake mwenyewe anazozijua (just assuming the issue is a lie) kwaivo ye inamhusu nini?
Wangapi wanaojisingiziaga/kusingiziwa tukio be it a scandal ama la kheiri na watu wanamute?
Ye kimemuuma nini? Na angepiga kimya angepungukiwa nini labda?
To hell with him angeacha watu waongee till watapojua ukweli ni upi!
nitag bas nkaone nakupm id

kwa hiyo tuseme director amwite msanii kufanya kazi...badala ya hilo anachukua kazi yake na kudanganya ni ya harusi yake...kwli sasa why aibe na asiende dukani kununua nguo ya harusi basi ajipige arushe? why subiri za kazi?
mbona alipokuwa Ghana alikuwa ana promote akiwa location,,,sasa hiii kwanini hapana na anaibia.
hakuna mwenye kufanya kazi kwa bdii atanyamazia muviiii yake itangazwe pasipo. alifanya vizuri...ndio ikomewe tabia ya kuigiza uongo kimaisha
walipwe na nani kwa hela ipiNyie si ndio mnaowaambiaga wanalipwa?Eeeh jibu ndo hilo sasa!