Ubuyu unaoenea kwa siri kwenye mitandao ya kijamii kwa sasa, ni kuhusu ndoa ya super star wema sepetu inayotarajiwa kufungwa ivi karibuni. Chanzo cha ubuyu kinaeleza kuwa hatua zote muhimu zimeshachukuliwa, kinachosubiriwa tu ni bwaba harusi huyo mtarajiwa kuchukua jiko lake bila kipingamizi chochote. Mpaka sasa ivi bado mume huyo mtarajiwa wa staa huyo hajawekwa wazi kwa kuogopa watu wabaya kumfanyia fitna.
Mpaka sasa management yake inafanya siri kubwa kuhusu tukio hilo muhimu litakalobadilisha title na heshima ya msanii huyo.
Duh wanaume tuna kazi aisee yaani wema kweli?
Inahitaji uvumilivu maana kila kitu kwenye mwili wa wema kimesha deteriorate kuanzia papuchi etc.
Mcharuko kuanzia yeye mwenyewe hadi mama yake
Haya bibie na uolewe sasa japo uilinde heshima yako kidogo iliyobakia maana kama mpapa umejua kuugawa.
heheheh....mkuu, hivi Wema anaweza kuwa jiko? kweli
Heaven on Earth atakua anajua aje atuambieeNaona wanajambisha watu uko insta utadhan ye ndo mwanamke wa kwanza kuolewa mxiuuui, namuonea huruma huyo jamaa kuoa kopo
Mh wachawi tunasubir kama yaliyomo yamo
MMh!! Namuonea huruma tu huyo husband wake maana mama ubaya anavyopenda maisha mazuri na kula bata mmh!! ,halafu nasikia ni katoto tu kana pesa chafu za urithi wa baba ake sijui kweli au umbea tu, ebu tusubir
hahahaha..anaweza kuwa mke mwema watu washangae.
Haya maswali ya jinsia yananichosha , vyovyote utakavyofikiria sawa tu, kuwa huru binamu.
tusharingishiwa sana ila hamna kituNaona wanajambisha watu uko insta utadhan ye ndo mwanamke wa kwanza kuolewa mxiuuui, namuonea huruma huyo jamaa kuoa kopo
Kwaninu na asiweee
Heaven on Earth atakua anajua aje atuambiee
hivi warumi huwa unapata wapi hizi habari? wewe ni ke au me?
Chanzo kilicho karibu na La Madam kinasema ni Le Mutuz. Sijui ni kweli
Subira yavuta kheri, tungoje.