mambo ya pm sio bana, ajibu apa kila mtu ajue, maana huyu dogo utadhani anaishi chumba kimoja na wema, anazijua siri zake mpaka za moyoni
Umeona eeh? Akipata anachokitaka kwanini asitulie?
Japo ni vigumu kuamini katika hili hasa kwa mwanamke aliyeshindikana kama wema.
Kwi kwi kwi. Punguza masihara.
Chanzo kilicho karibu na La Madam kinasema ni Le Mutuz. Sijui ni kweli
Subira yavuta kheri, tungoje.
Wa wapi huyo na yukoje? Ebu nipe umbea tumdisicuss labda ndio yeye, yupo insta?
Huyu ndio mtaalamu wa ubuyu africa mashariki na ana wafuasi wa kutosha.
hivi warumi huwa unapata wapi hizi habari? wewe ni ke au me?
Haya bibie na uolewe sasa japo uilinde heshima yako kidogo iliyobakia maana kama mpapa umejua kuugawa.
ukumbi umebadilishwa au no pale pale uwanja wa taifa?
heheheh....mkuu, hivi Wema anaweza kuwa jiko? kweli
heaven on earth atakua anajua aje atuambiee
Nyinyi sasa ndo mnafanya tufichwe kumfahamu mume mwenyewe, Na pia mmesahau kuwa wanawake wengi hugawa sana ila yeye kabainika kwakuwa ni nyota ila naanuni kuna ma underground wamefunu kitabu Mara nyingi kuliko hata huyo star punguzeni hukumu maana na yakwenu yakihukumiwa mtaadhirika