Ndoa ya Wema Sepetu yazua gumzo mjini

Ahahahahah, sasa jamani si ndo mke au? Jiko si mke au yeye hafai jaman

Waswahili husema kunguru hafugiki ila mi napingana na waswahili Kwa hili mi naamini ukimjua kunguru tabia zake anafugika na kuwa salama
 
Bwana mimi simkumbuki vizuri sijui anaitwa Kesi hata sielewi...

Mmh!! Naanzaje kukosa sasa mbea mie? Maana nitakuwa nalia tu kwa aibu, nyie wema unatuabisha wachawi, haiwezekani lazima tukeshe makaburini
 
Mmh!! Naanzaje kukosa sasa mbea mie? Maana nitakuwa nalia tu kwa aibu, nyie wema unatuabisha wachawi, haiwezekani lazima tukeshe makaburini

Ha ha ha tumuache tu mama ubaya nae aolewe jamani.
Pamoja na mambo yake lakini nae ni binadamu kama sisi anahitaji kua na familia yake
Heheheheheh
 
Hahahaaa hata sijui labda tumuulize warumi aliyeleta hii habari.
make uwanja wa taifa nmezoea kuona mechi na misiba ya watu maarufu sa huyu bi harusi wa uwanja wa taifa atakua wa kipekee
 
Last edited by a moderator:
najua wapi/........ Nimeibiwa ka mchina kangu
insta sijaingia nina mudaje

Loh!! Unapitwaje sasa? Na soon nafungua account yangu insta, naizindua ijumaa, ni shidaaaaa full umbea umo, jitahid usikose binamu wangu wa ukwee
 
Ha ha ha tumuache tu mama ubaya nae aolewe jamani.Pamoja na mambo yake lakini nae ni binadamu kama sisi anahitaji kua na familia yakeHeheheheheh
familia anayo tayari kadinda, petit man, swiss na vanny
 
Kwani nani aliyesema yeye ni msafi hapa? Kila mtu na yake hapa tunapiga story tu siku zinaenda.
Usichukulie mambo serious wewe.

Nice but inauma kama ni wewe unafungua mtandao unakuta watu wanakudis Kwa mambo yasiyopendeza kama hivi ungejisikiaje? Kilicho haramu kwako kifanye haramu na kwa Jirani akihalalishe mwenyewe
 
make uwanja wa taifa nmezoea kuona mechi na misiba ya watu maarufu sa huyu bi harusi wa uwanja wa taifa atakua wa kipekee

Mashabiki na wafuasi mama.Eti nao wanajipa moyo kua lazima wahudhurie harusi ya madame wao! Hivyo kutokana na walivyo wengi lazima wafanye harusi uwanja wa taifa!
 
Nice but inauma kama ni wewe unafungua mtandao unakuta watu wanakudis Kwa mambo yasiyopendeza kama hivi ungejisikiaje? Kilicho haramu kwako kifanye haramu na kwa Jirani akihalalishe mwenyewe

Haya mimi kwangu haramu kwako wewe jirani kihalalishe mwenyewe sijakukataza wala kukupangia cha kufanya.
Nchi huru hii kila mtu afanye atakavyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…