Ndoa yampausha Shamsa, aijutia!

Jamani tuacheni umbea....tuafanyeni yetu
 
Caption za Shamsa kila akijiselfie Insta ni" nakupenda Mme wangu"

" Mme wangu Leo utakula nini, najua unapenda mlenda"

Mara

" Mme wangu najisikia kulia Leo "
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani!!

mmmhh!Ila km kweli namuonea huruma ht miezi mi3 badoo
 
Unga alioshikwa nao pale kunduchi, alisaidiwa na yule mama wa NGO (hawala) kesi ikaisha wale askari wakalamba mpunga, anapenda MIJIMAMA
 
Acheni Umbea, hakuna ndoa ya vijana wa Leo ikakosa Mushkheri..! Kila ndoa ina vitimbi vyake, alafu siamini kama kuna mwanaume karne hii anaweza kulazimishwa kufunga ndoa, hayo ni maneno tu ya wachafuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…