Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HaswaaaDuh kweli we mmbea
Shilawadu ni nini haswa, naomba kujuzwa[HASHTAG]#teamshilawadu[/HASHTAG]
SHIRIKA LA WAMBEA DUNIANIShilawadu ni nini haswa, naomba kujuzwa
Jamani tuacheni umbea....tuafanyeni yetuHaloooooooo!!! Mi mbea jamani!!
Ok iko hivi, dada yetu Shamsa ndoa imekua ndoano atelekezwa na Chidi Mapenzi. Inasemekana baada ya harusi tu Chidi akajiendea zake China kwa kisingizio cha biashara ila sio hivyo! Inasemekana ana mwanamke huko na hilo jimama ndo linamuweka Chidi mjini na Shamsa analijua hili.
Umbea umeenda mbali mpaka kufikia kwamba Shamsa alilazimisha ndoa na hana raha kabisa na ndoa yake hata uso wake umepoteza nuru na kwa mitazamo ya watu wanadai kapauka haswaaa.
Pia inasemekana post ya shoga ake Zamaradi lilikua ni dongo lake, haya karibuni tujazilishie yetu!
Wengine yetu ndo haya ya umbea, acha wewe ufanye yakoJamani tuacheni umbea....tuafanyeni yetu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani!!Caption za Shamsa kila akijiselfie Insta ni" nakupenda Mme wangu"
" Mme wangu Leo utakula nini, najua unapenda mlenda"
Mara
" Mme wangu najisikia kulia Leo "
acheni wivuCaption za Shamsa kila akijiselfie Insta ni" nakupenda Mme wangu"
" Mme wangu Leo utakula nini, najua unapenda mlenda"
Mara
" Mme wangu najisikia kulia Leo "
mbona yupo dukani?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani!!
mmmhh!Ila km kweli namuonea huruma ht miezi mi3 badoo
Tuone huo mpaukoPicha ya nn
NI ubongo wa flevaChidy Mapenzi ndo nani naye? Mbongo muvi au..?
hajaachika badombona yupo dukani?