Ndoa yampausha Shamsa, aijutia!

Ndoa yampausha Shamsa, aijutia!

Mbona shamsa mara nyingi sana nilkuwa nasoma bongo5 kuwa anaifurahia ndoa yake na hata sio sku nying...........hii ajira ya ndoa nyie wanawake naomba msiitegemee
 
mume kumbe anaitwa chidi mapenzi hahaha lazima afanye kama jina lake lilivyo yeye ni mapenzi tu
 
Haloooooooo!!! Mi mbea jamani ok iko hivi dada yetu shamsa ndoa imekua ndoano atelekezwa na chidimapenzi, inasemekana baada ya harusi Tu chid kajiendea zake China kwa kisingizio cha biashara ila sio hivyo inasemekana anamwanamke huko na hilo jimama ndo linamueka chid mjini na shamsa analijua hill

Umbea umeenda mbali mpaka kufikia kwamba shamsa alilazimisha ndoa na Hana raha kabisa na ndoa yake hata USO wake umepoteza nuru na kwa mitazamo ya watu wanadai kapauka haswaa

Pia inasemekana post ya shoga ake zamaradi lilikua no dongo lake haya karibuni tujazilishie yetu
BMYmTVVhVkw

 
Akati muda si mrefu chiddi amepost gar zuriiii amemnunulia Shamsa....sema wabongo huwa tunapenda mabaya yawatokee watu hadi kufikia kiwango cha kuyatunga hata kama hayapo
ndiyo ujue wengi wana roho za kwanini............ukipata watauliza kwanini na ukikosa watauliza kwanini.
 
Back
Top Bottom