Paula kilaki
JF-Expert Member
- Jun 26, 2014
- 1,909
- 1,290
Mpauko wa shamsaPicha ya nn
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpauko wa shamsaPicha ya nn
Ha ha ha ha mbavu zangu ndivyo tunavyoitwa mkuu hamna jinsiTuoneeni huruma na hayo majina jamani khaaaa, MADANGA !!!!!!!!
shirika la wambea dunianiShilawadu ni nini haswa, naomba kujuzwa
ahahahaha jamaniCaption za Shamsa kila akijiselfie Insta ni" nakupenda Mme wangu"
" Mme wangu Leo utakula nini, najua unapenda mlenda"
Mara
" Mme wangu najisikia kulia Leo "
Lol.Arudi tu mtaani madanga ya kumwaga tutagawana.
Arudi tu mtaani madanga ya kumwaga tutagawana.
Hehehefe braza ni mtaalamu Wa mapenziChidy Mapenzi ndo nani naye? Mbongo muvi au..?
aiseeArudi tu mtaani madanga ya kumwaga tutagawana.
Haloooooooo!!! Mi mbea jamani ok iko hivi dada yetu shamsa ndoa imekua ndoano atelekezwa na chidimapenzi, inasemekana baada ya harusi Tu chid kajiendea zake China kwa kisingizio cha biashara ila sio hivyo inasemekana anamwanamke huko na hilo jimama ndo linamueka chid mjini na shamsa analijua hill
Umbea umeenda mbali mpaka kufikia kwamba shamsa alilazimisha ndoa na Hana raha kabisa na ndoa yake hata USO wake umepoteza nuru na kwa mitazamo ya watu wanadai kapauka haswaa
Pia inasemekana post ya shoga ake zamaradi lilikua no dongo lake haya karibuni tujazilishie yetu
ndiyo ujue wengi wana roho za kwanini............ukipata watauliza kwanini na ukikosa watauliza kwanini.Akati muda si mrefu chiddi amepost gar zuriiii amemnunulia Shamsa....sema wabongo huwa tunapenda mabaya yawatokee watu hadi kufikia kiwango cha kuyatunga hata kama hayapo