Ndoa yampausha Shamsa, aijutia!

Ndoa yampausha Shamsa, aijutia!

kweli huu ni umbea wakati wa kusutwa simooooo.
 
View attachment 429282

Haloooooooo!!! Mi mbea jamani!!

Ok iko hivi, dada yetu Shamsa ndoa imekua ndoano atelekezwa na Chidi Mapenzi. Inasemekana baada ya harusi tu Chidi akajiendea zake China kwa kisingizio cha biashara ila sio hivyo! Inasemekana ana mwanamke huko na hilo jimama ndo linamuweka Chidi mjini na Shamsa analijua hili.

Umbea umeenda mbali mpaka kufikia kwamba Shamsa alilazimisha ndoa na hana raha kabisa na ndoa yake hata uso wake umepoteza nuru na kwa mitazamo ya watu wanadai kapauka haswaaa.

Pia inasemekana post ya shoga ake Zamaradi lilikua ni dongo lake, haya karibuni tujazilishie yetu!
Shilawadu shilawadu mnakula tu ubuyu
 
Back
Top Bottom