Blessingmore
JF-Expert Member
- Jun 14, 2016
- 377
- 394
Nakapendagaaa haka kamsemoUngeambatanisha na ka picha ingekolea zaidi
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakapendagaaa haka kamsemoUngeambatanisha na ka picha ingekolea zaidi
... ana nini huyu mkaka mwenzetu ...
chid benzChidy Mapenzi ndo nani naye? Mbongo muvi au..?
Shilawadu shilawadu mnakula tu ubuyuView attachment 429282
Haloooooooo!!! Mi mbea jamani!!
Ok iko hivi, dada yetu Shamsa ndoa imekua ndoano atelekezwa na Chidi Mapenzi. Inasemekana baada ya harusi tu Chidi akajiendea zake China kwa kisingizio cha biashara ila sio hivyo! Inasemekana ana mwanamke huko na hilo jimama ndo linamuweka Chidi mjini na Shamsa analijua hili.
Umbea umeenda mbali mpaka kufikia kwamba Shamsa alilazimisha ndoa na hana raha kabisa na ndoa yake hata uso wake umepoteza nuru na kwa mitazamo ya watu wanadai kapauka haswaaa.
Pia inasemekana post ya shoga ake Zamaradi lilikua ni dongo lake, haya karibuni tujazilishie yetu!