Jamani wenzangu tuliomo kwenye ndoa zaidi ya miaka 15 njooni tupongezane ndoa sio mchezo wa Simba na Yanga ndoa inahitaji mental maturity and stable income, hususani ukiamua kua na wake wawili, ndoa ya mke moja inatesa mno, nilianza ikanishinda.
Nimebakiza miaka mitatu ni timize 20th anniversary nime amua ni sherekee japo sijui hi sherehe inakua je sijawahi kufanya na kuhudhuria wenye kujua ni saidieni, nime bembeleza sanaa ndoa yangu sacriface uvumilivu wa hali ya juu siku wahi ku-imagine kama itafikisha ata 10yrs, hivi hao watoto wetu wa miaka ya 2000 wa taweza ndoa kweli?
Hata for 5yrs mbona ndoa inahitaji maturity, na muda, sio hiki kizazi cha high technology of social media, betting, nk.