Ndoa yangu ikitimiza Miaka 20 nitasherekea 20th anniversary japo mimi si Mkrisitu

Ndoa yangu ikitimiza Miaka 20 nitasherekea 20th anniversary japo mimi si Mkrisitu

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Macho hayana pazia, penye emergency msitusagie kunguni
Sio sunna wivu ni nature na wake zake Mtume walikua watu naomba tuache kuchanganya vitu ambavyo viko na naturally na ibaadat.....
 
Mkuu tunafanya mengi kwa sababu ya jamii, hasa ukiwa ni mtu mwenye kuajibika katika hiyo jamii.
Nakuelewa boss. Nimewaza tu namna mlivyotabasamu nje ila ndani hamna furaha nikawaonea huruma.
 
Nakuelewa boss. Nimewaza tu namna mlivyotabasamu nje ila ndani hamna furaha nikawaonea huruma.
Furaha ni neno paana halipimiki au kuonekana ni intrisick, hata kununa au kulia ni furaha kwa namna nyingine.......
 
Furaha ni neno paana halipimiki au kuonekana ni intrisick, hata kununa au kulia ni furaha kwa namna nyingine.......
Ok, sasa hapa boss unamaanisha ndoa yako kwa miaka iliyosurvive ina furaha au haina furaha? Ukiachana na changamoto za hapa na pale maana hizo zipo tu. Unajua kusema ndoa ipo sababu ya jamii inayonizunguka inamaana ukiondoa jamii usingeitaka meaning haikupi furaha.
 
Ok, sasa hapa boss unamaanisha ndoa yako kwa miaka iliyosurvive ina furaha au haina furaha? Ukiachana na changamoto za hapa na pale maana hizo zipo tu.
Furaha ni mimi hata ku-survive kwa ndoa kila ukicha wiki mwezi mwaka kwangu ni furaha, sijui kwa mwenzangu kwasbb furaha ni intrinsic, kucheka na tabasamu ni unafiki tu,
 
Furaha ni mimi hata ku-survive kwa ndoa kila ukicha wiki mwezi mwaka kwangu ni furaha, sijui kwa mwenzangu kwasbb furaha ni intrinsic, kucheka na tabasamu ni unafiki tu,
Ndo maana nikatumia neno Furaha sio kucheka. Ndoa yenye furaha namaanisha hata ukirudishwa kabla ya kuifunga still utaopt kufanya hivyo sababu imekupa furaha. Haiexist tu sababu ya jamii, inaexist sababu ya matokeo chanya yanayoleta furaha yamezidi matokeo hasi yanayoleta huzuni.
 
Means hujiamini na husiano lako km limeweza ku survive till now?!!
 
Ndo maana nikatumia neno Furaha sio kucheka. Ndoa yenye furaha namaanisha hata ukirudishwa kabla ya kuifunga still utaopt kufanya hivyo sababu imekupa furaha. Haiexist tu sababu ya jamii, inaexist sababu ya matokeo chanya yanayoleta furaha yameyozidi matokeo hasi yanayoleta huzuni.
Furaha ninao mkuu but numeipata kwa hi cost kabisa, ila niwemuazi japo aliwezekani kurudishwa nyuma, nikipewa na hiyo fasi tena sioe tena, ndoa restrict maisha uhuru unaondoka compeletly
 
Furaha ninao mkuu but numeipata kwa hi cost kabisa, ila niwemuazi japo aliwezekani kurudishwa nyuma, nikipewa na hiyo fasi tena sioe tena, ndoa restrict maisha uhuru unaondoka compeletly
Ok mkuu
 
Back
Top Bottom