Ndoa yangu ikitimiza Miaka 20 nitasherekea 20th anniversary japo mimi si Mkrisitu

Kiukweli tumepanda milima na mabonde kikubwa uvumilivu tu.

Hata na mie nawaza hivyo nikigota 20 basi nisherehekee kwa kwenda hata Zanzibar au hata mbuga za wanyama huko.
Nitakuwa mpambe, usinisahau kwenye mwaliko Dada yangu[emoji23][emoji23]
 
Mwaka wa 5 loading now.

Mungu ajalie na mimi nifikishe hatua hizo, tuendelee kujifunza kwenu Maseniors
 
Bado mkuu subiri hao watu wana toa vitimbi vya mwisho mwisho huenda unaweza kishndwa kuvihimili......
Haha kwa kweli sikubishiii, kadiri wanavyopata umri wanakuwa na wivu usio na maana, nadhani swala la kupoteza uzuri kadiri wanavyopata age linawasumbua sana.
Juzi tulikuwa na kesi, kwa nin nawakodolea macho wadada wa amapiano kwenye Tv😊😊.
Imagine mtu yupo kwenye Tv, hata humjui, halafu unapewa kesi kuwa ni hawara yako.
 
Usijali mdogo wangu siwezi kukusahau kamwe.

Najua na wewe umeshasogea sogea sasa eeh!
Si haba, Mungu ni mwema, mwaka wa 5 umeanza kupisha hodi.

Gurudumu linaendelea kusonga mbele.

Wajibu wenu wa kutuonesha njia iliyo bora kuifuata bila kuja vikwazo vyote ni wa muhimu sana.
 
Mwaka wa 5 loading now.

Mungu ajalie na mimi nifikishe hatua hizo, tuendelee kujifunza kwenu Maseniors
Duuh! Kweli siku hazigandi mdogo wangu basi naona ni kama juzi tu.

Kila la kheri M'Mungu azidi kuwapa mioyo ya subira na uvumilivu mana hicho ndo kikubwa.
 
Haha kwa kweli sikubishiii, kadiri wanavyopata umri wanakuwa na wivu usio na maana, nadhani swala la kupoteza uzuri kadiri wanavyopata age linawasumbua sana.
Juzi tulikuwa na kesi, kwa nin nawakodolea macho wadada wa amapiano kwenye Tv[emoji4][emoji4].
Imagine mtu yupo kwenye Tv, hata humjui, halafu unapewa kesi kuwa ni hawara yako.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sasa mkitembea njiani si utapata tabu sana ukijaribu kutupa jicho kwa mdada mnayepishana
 
Si haba, Mungu ni mwema, mwaka wa 5 umeanza kupisha hodi.

Gurudumu linaendelea kusonga mbele.

Wajibu wenu wa kutuonesha njia iliyo bora kuifuata bila kuja vikwazo vyote ni wa muhimu sana.
Hakika usemalo mdogo wangu.
 
Hapo muwe chap chap sasa kuniongezea shangazi zangu. [emoji2957][emoji2957]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kijana wa mwanzo bado anakula bata kwanza akiwa peke yake.

Ila stage ya kwanza naona inaenda slow kwa wengi hasa tulio mijini, ila kuanzia stage ya pili inakuwa bandika bandua hadi kwenye kikomo ulichochagua
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kijana wa mwanzo bado anakula bata kwanza akiwa peke yake
Kwa raha zake.
Ila stage ya kwanza naona inaenda slow kwa wengi hasa tulio mijini, ila kuanzia stage ya pili inakuwa bandika bandua hadi kwenye kikomo ulichochagua
Kila la kheri mdogo wangu kikubwa subira kwani kila jambo lina wakati wake.
 
Ahsante mkuu, nili linda hi ndoa sikutaka nionekane kwa jamii ulio nizunguka kwamba nime shindwa ndoa, kwasbb jinsi jamii ilivo kua ina niheshimu, ndoa need sacriface kubwa.
Ulilinda ndoa kwa ajili ya jamii? Umeteseka mno. Mkeo nae kateseka sana. In short mmelipia gharama kubwa mno.
 
Haha kwa kweli sikubishiii, kadiri wanavyopata umri wanakuwa na wivu usio na maana, nadhani swala la kupoteza uzuri kadiri wanavyopata age linawasumbua sana.
Juzi tulikuwa na kesi, kwa nin nawakodolea macho wadada wa amapiano kwenye Tv[emoji4][emoji4].
Imagine mtu yupo kwenye Tv, hata humjui, halafu unapewa kesi kuwa ni hawara yako.
Hizo ndo zao, wivu wao hauna mpangilio kabisa.
 
Back
Top Bottom