Ndoa yangu ina hali tete

Tatizo lakutokuoa bikra ndio hili.
 
Kuna demu mmoja ni mdogo na jamaa yake ana 40 hivi ila jamaa anamcheat sana hivyo yule demu anasema Finali uzeeni kuwa yeye asumbue tu sasa hivi
 
Hili nalo ni la kuomba ushauri? Ndugu pole,kwanza kabla ya kuoa unapaswa kuhakiki uwezo wako kama umeshakua mature vyakutosha kukabiliana na changamoto za ndoa. Nilidhani labda ulifumaniwa ama umezaa nje ya ndoa...
 
Watakuja wenye hoja za hovyo watakuuliza una Mama au huna mtoto wa kike.
Wanawake wengi ni wajinga,na ukiwa na akili ni ngumu sana kuishi na mtu mjinga ndio maana watu wengi duniani wenye akili nyingi hawawezi na hawakuweza kuishi na wanawake.
 
Umeongea point nzito sana na kutukumbusha.

Yaaani mwanaume unatakiwa uangalie pia growth yako, kuna watu kweli wanapambana kwa ajili ya wake zao na watoto na kujisahau wao wenyewe.

Wanasahau kwamba mkeo atazidi kukupenda zaidi wewe unavyojipenda
 
Mi namzidi mke wangu miaka 12.
 
Chama ana umri huo huo na anaitwa kikongwe kwa kifupi huyo kashapigwa mkia na watoto wa afu mbili hivyo anaona wewe kuna vitu huviwezi kisa umri kumbe tu wewe ni mzee wa kifo cha mende cha kufanya kwanza chunguza
Pili chunguza tatu chunguza
 
Ukitaka kujimaliza muwezeshe kiuchumi.
Yani huyo inatakiwa umnyooshe haswa,hata mahitaji ya nyumbani nunua mwenyewe .Hakikisha sh 100 haikai mkononi mwake
 
Duh! Nyie wadogo sana
 
Nasubiri maoni yenu wakuu, nilipanga nimuwezeshe kibiashara lakini naona bora nimuache awe mama wa nyumbani tuu, na hiyo pesa ya mtaji Bora nimtumie mama yangu aitafune taratibu.
Hili neno, Hongera kwa kumkumbuka mama.
NB: Umri wangu Mimi ni miaka 34 na yeye umri wake ni miaka 28
Je ukitafakari, na kuangalia miaka mitano nyuma iliyopita, ukilinganisha na sasa. Swali: Je mfumo wako wa maisha haujabadilila, Huenda life stail ya sasa inamuathiri mkeo na kukuona mzee uliyepitwa na wakati. Fanyia kaz hili. Dawa ya Tatatizo ni wewe kubaini wapi huendi sawa nnamatarajio ya mkeao.

NB: Soma neno wa neno baadhi ya majibu yaliyotolewa na members ambao ni KE. Kuna vitu vya kujifunza na kuchukua hatua. Majibu ya Members "KE" tayari yanaviashiria na wanatambua tatizo liko wapi ila hawajanyooka katika kukueleza nini ufanye au nini ufumbuzi.
 
Kwa umri hakuna tatizo kabisa! Actually, ndoa nyingi zinazodumu unakuta mwaume anamzidi mwanamke umri. Kuna ndoa naifahamu mwanamke ana miaka 41 na mwanaume miaka 63, na wana watoto 2, lakini wanaoonekana wanaonekana kuwa na a happy family. Lakini tofauti ya miaka 6 si kitu kabisa! Nafikiri umri ni kisingizio tu hapo. Mimi namzidi wife miaka pia, na wakati mwingine unasikia wanawake wakisema mtu gani mwanamke inabidi aolewe naye na wanasema olewa na mwanaume anayekuzidi umri, na ndoa itadumu. Ndoa ni shule, kuna mambo mengi ya kujifunza.
 
Formular nyingine inasema chukua umri wa mwanaume gawanya kwa mbili kisha jumlisha saba

Kwa maana kama mwanaume yupo 40 basi mwanamke awe nusu ya mwanaume awe miaka 20 halafu ongeza miaka 7 inamaana mwenye miaka 40 anaweza kuoa mwanamke mwenye miaka 27

Vyovyote itakavyokuwa,mosi wanawake wanazeeka mapema sana kwahiyo akiwa umempita miaka mingi mnaenda nae sawa

Pili,mwanaume ukiwa mkubwa kwanza kuna heshima ya ukubwa unapewa hapo ndio maana utakuta wengine wanaamkia waume zao ingawa si lazima,lkn vile vile mwanaume akiwa mkomavu na upeo mkubwa kuliko mke kwa umri ni rahisi kudili na heka heka za mke kwa maana ya kutumia busara na hekima

Kumbuka mwanamke anahitaji mtu wa kumuongoza siku zote,sasa huyu kiongozi anatakiwa awe mkomavu la sivyo neno kidogo tu usharusha ngumi au ushamuumiza mtoto wa watu
 
Mkuu nahisi utakuwa umesoma kitabu kinaitwa "The Art of Loving My Self" cha mwandishi Jonathan Kis-lev. Wanaume huwa tunasahau kuwekeza kwenye maisha yetu tunaamini ili tuwe na furaha ni lazima kwanza wengine wafurahi kumbe si kweli.
 
Umeongea kitaalamu na kisayansi sana mkuu.

Yes, inatakiwa iwe hivyo mkuu. Sasa mleta mada amepishana na mkewe miaka 6 pekee eti mke anamwambia ameolewa na mtu aliyempita miaka mingi sana. Inafikirisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…