Ndoa yangu ina hali tete

Pole sana ndugu, hapo jiandae kwa lolote muda wowote unakuwa single tena, na ujiandae kwa maneno ya kuku kera zaidi maishani mwakk, huyo amesha kuwa sumu kwako, kaa kwa umakini
 
Kuna kakijana tayari kanamsumbua huko njee...
 
Mwanamke huwa mala nyingi hawajui hata wana sema nini usipende kuchukulia maneno yao seriously ikiwa atasema mara moja ili ujue ni seriously walau aseme mala 7,
 
Asee pole saana binadamu mwenzangu, kwa wewe kama kweli unamiaka 34 na mkeo ana miaka 28, ni range nzuri kabisa ya kukaa mume na mke.

Mengine nimeona yamejibiwa lakin kuna kitu kimoja kinaitwa
👉 Physical appearance yako yaan naamanisha muonekano wako, ikiwemo sura na ngozi, binadamu tuko tofauti, kuna mwingine akifikisha miaka 26 tu anaonekana kama mama wa makamo wa miaka 40 au mzee wa makamo yaan anakuw na sura nzito yaan anazeeka mapema, hii ipo nadhan mtaani mnaliona kulingana na lifestyle mtu anaonekana mzee au kijana, although mwingne kaumbwa vile.

Nenda kwa watu waushauri watakuangalia muonekano wako, wakubain huenda unaonekana mzee lakin bado mdogo ni swala la kawaida ndipo mkeo atapewa ushauri kuwa hii ipo kulingana na lifestyle unayoishi , ikiwemo kuwa na stress sana, kuvuta bangi au shisha au madawa kama cocaine kupita kiasi, kunywa pombe kupita kiasi hii huzorotisha afya na kumfanya mtu aonekane mzee kumbe ni yanki tu.

Ninayo mengi but niishie kuandika hapa, 🙏
 
Wakwangu namzidi miaka nane na hakuna shida yeyote..huyo kuna shida sehemu mkuu fuatilia mienendo yake vizuri.
 
Sijajua ww ni dini gani ila mzee wangu alinishauri kabla hujamuacha au kuachana na mwanamke ambaye anatishia muachane oa mke wa pili kwanza akili yake itakuwa sawa USIKUBALI KUPELEKESHWA NA MWANAMKE kwa aina yoyote ile because women says what they feel men says what they think kazi kwako.
 
Mleta mada ishi hapa, ukifika uzeeni utateseka sana na huyo mwanamke.
 
Hapo kibamia lazima kinywee
 
Ni hilo tu au kuna jingine umetuficha?
Umri wako unamuathiri nini yeye?
Ukute kuna mahali hujagusa na ameguswa na mtu huko mtaani basi anakuona wewe ajuza
Angalia ulipokosea urekebishe mkuu
😂eti ajuza kasheshe kwa kweli
 
Mkwani mwili wake upo je au wewe mwili wako mkubwa kuliko yeye mimi ninavyojua Mwanamke ukimpita miaka hiyo ulivyosema kimuonekamo lazima yeye atakua mkubwa kwako na tena kama ameshazaa.
 
Mtume Paul aliikataa kabisa hii jinsia, unajua sisi tunachukulia maandiko simple saana ila neno la Mungu limehakikiwa mara saba na kuthibitika.
 
Kula, vizuri, kunywa maji mengi, chemsha chai maganda ya machungwa, tangawizi, vitunguu maji na swaumu, karafuu na star nise. Imarisha misuli,mishipa na pumzi.
Umeshachapiwa, pole sana
wewe ni dhaifu sana
 
Hio ni dibaji tu ya episode ya "Kuchapiwa ni siri ya ndani"

Bado show haijaanza, ila tuko pazuri!
 
Msitufanyie hivyo jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…