Ndoa yangu ina hali tete

Mwanamke akishabadilika ndio imetoka hio, haihusiani na kumkaza wala nini.
 
Mimi kwa kushauri tu achana naye tafuta chombo kipya hatakupa stress Kali sana tayari hakuheshimu na hata bible inasema mwanamke atamuheshimu mume wake na mwanaume hatampenda mke wake kwaiyo fanya uamuzi don't fear to loose her,just let her go kama mna watoto na ni wakubwa walee mwenyewe
 
Mtoa mada mbona husemi kama unamlomba vizuri huyo binti ili tujue shida iko wapi zipumbovu
 
Niko pamoja na wewee hapo kwenye kuridhishwa ila pia jinsi wanavyo wasiliana. Mfano mleta mada kabla ya kulileta hili hapa yeye na my wake wameli zungumzaje hili jambo. Mambo ya kuachia issues hewani huwa yanavunja sana uhusiano/ndoa.
 
Kashapata mtu anayefikia g spot...... Umeshakua outdate ndugu. Wanawake ndivyo walivyo........ Ila wazee wetu walipata....

Your browser is not able to display this video.

😂😂🤣🤣😂😂🤣🤣🤣
My
 
Kweli mume wangu kuzaa sasa naonekana mshangazi 🤣😂 sema ana umbo dogo anajipenda huwezi kudhani ana 57 anaingia 58
 
Nimeipenda hii

Mke wangu mtarajiwa ndoa ya pili nampita miaka 15,ananipenda mpaka namwambia punguza upendo kpnz

Huyo mwanamke ni hayupo sawa kwa head,kuna watu wanapishana mpaka miaka 30
Eeeh labda sio love Marriage au penzi la upande mmoja au jamaa hamfikishi kuna vitu anavikosa dada kapata nje mwenye umri chini wa mumewe ndo maana anamuona mzee walijisemea umri ni namba tu.

Alihamdulillah sina stress maana kamaliza ujana tunaishi kwa amani na upendo.tumekutana na miaka 21 yeye kwenye 40+ mie nilijua ana 30+ 😅 hata baada ya kujua ana umri mkubwa haikunisumbua.
 
Kweli nimeamini, akutukanae hakuchagulii tusi...😂
 
Yeye ndo mzee kwako ulitakiwa umzidi miaka kumi au zaidi huko mbele yeye ataonekana mzee kuliko wewe maana ke huwahi kuzeeka kuliko me atakuwa na sababu zingine za kukuchukia siyo umri
 
Hahahahaaa hapo haujaoa bro. Hiyo ni red flag, piga chini haraka tafuta mwingine, uzuri bado upo kwenye umri wa kuoa, tafuta dogodogo under twenty, ili yeye ajione mzee...wanaume hatuzeekagi wanaozeekaga wanawake kwa lugha nyepesi mm hata nikiwa na miaka 90 nina uwezo wakuzalisha mwambie yeye azae sasa kwa umri huo
 
Muda huo alikuwa anatak ndoa now anatak uhuru
Chunguza baada ya muda utapata jibu
Kwanini wanawake huwa hivi? Huwa wanahisi wakiwa ndoani watapata vitu gani ambavyo nje ya ndoa hapati??

Maana kesi nyingi ni za namna hiyo, mwanzo ke anakua anaihitaji sana ndoa ila baada ya muda anaijutia na kuutaka sana uhuru.
 
Mke wangu nimemzidi 17 yrs. Nikijiita mi mhenga au mzee huwa anakasirika sana, anasema mimi bado ni kijana. Mara nyingi huwq tunaingozana sehemu mbalimbali. Nikijiangalia nywele zangu za kichwani na kidevuni zimeanza kubadilika rangi kwa kasi sana. I'm 48 yrs old lkn kwake mi bado ni kijana. Kupendwa raha sana.

Huyo wako ana lake la moyoni
 
Unampiga pumb.u vyema?, sio kwamba anafikisha ujumbe kimtindo, kimoko chalii.
Hata akimpiga kimoja cha kimkakati mke akaridhika haina shida. Unaweza ukampiga goli nyingi na bado asiridhike. Huwa nasikia malejendi wanasema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…