Ndoa yangu ina hali tete

Alooo....bora nimesoma huu uzi.
Kuna kademu nimekapita miaka 10 nataka kukaoa sasa kama miaka sita tuu anasema mzee huyu niliyempita miaka 10 sii ndio ataniua kabisa.
Asante bro kwa kunifungua macho
 
Ulipaswa kumuuliza swali moja tu unataka taraka?

Akisema ndiyo mpe fasta maisha yaanze upya
 
kaishatafunwa
 
Hakupendi, aliolewa kwa ajili ya shida ya maisha. Kuna watu wanapishana miaka 10 Hadi 15. Lakini upendo unabakia pale pale. Na kuna wanaume wana umri mdogo kuliko mwanamke na wanazeeshana.
 
Mi Nina 31 mke wangu 23 na tupo poa kinooooooma, huyo hakutaki tu anatafuta kisingizio.
 
Mmh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…