Ndoa yangu ina hali tete

Ukikosa akili ya kuishi na mwanamke ndio utakuja kuomba msaada wa akili za kataa ndoa 😂😂

Huyo mkeo humuwezi dogo
 
Yeye ndio age go,kwa umri wako.Unatakiwa kuwa na pisi za kuanzia 25 kushuka.
Piga chini hiyo
 
Wanaume ni species inayopotea kwa kasi saana! Mwanaume unatakiwa huwe na akili zaidi ya mara mbili kuweza kummudu mwanamke! Lakini siku hizi wanawake ni werevu kuliko wanaume! Mimi nikikwambia mke wangu namzidi miaka zaidi ya 20 utaamini? Na tuko poa kabisa!
 
1. Kakuchoka
2. Kuna mtu ameshaanza kumshenyenta kiaina.
 
Ashapata mchepuko mdogo kuliko wewe halafu ana kufananisha naye,you are very old halafu ukute una kipara sasa🤧😔.
 
Msamehe tu hayo Ni madhara Na faida ya kupishana umri Hajakomaa Akili bado ana utoto mwingii mchukulie tu ni utoto Hawezi kuwaza Sawa Na wewe sababu were umemzidi uwezo wa akili
 
Kumbe wewe ni mwanamke nilidhani mwanaume
 
Watu ambao wamejikita kuzungumzia sababu ya kutomba kama ndio sababu,nimewadharau kabisaa na probably wengi wao kama sio wote wameongea kwa mkumbo tu.
Mwanamke akishataka lake hata umtombe namna gani huwez kubadiki mindset yake.

Mkuu kwakifupi huyo hata jama unamtomba sana, huyo kashabadil vipaumbele vya maisha na huna chabkufanya kuhusu hilo.
 
UKIONA HIVYO ANZA KWENDA GYM KIMYA KIMYA, KULA MATUNDA HASA PARACHICHI,TIKITI NA NDIZI. PIA USISAHAU KULALA MASAA YASIYOPUNGUA MATANO.ACHA KUFUGA KITAMBI, TAFUTA PUMZI UISUGUE NA ISUGULIKE UTALETA MREJESHO.

PIA ANZA KUWEKA MIKAKATI YA KUPATA VIPUSA WA KUTULIZA MIDADI KIASI KWAMBA SIKU ZA AWALI WAKATI UMEANZA PROGRAM AKIWA ANARINGARINGA WALA HAMNA KUBEMBELEZA UNAMUIGNORE LIKE U DON'T GIVE A F"CK!!! UNAENDA NJE UNAJITULIZA ALAFU UNAMPA MDA UTAONA KAMA AJAJIRUDI.

WANAUME WENGI WANAOSUMBULIWA NA WANAWAKE NI KWASABABU WANAWAABUDU SANA WAKE ZAO MKE AKIKOHOA MWANAUME ANATETEREKA, MY FRIEND KAZA WACHA MCHEZO "KUISHI NAO KWA AKILI" SIO LELEMAMA

JIPANGE ANZA KUKAMIA MECHI MTOTO ANAUTAKA NA WW UNAMLETEA PIGO ZA KILOKOLE, PIGA PIPE KISAWASAWA BRO ACHA MASIHARA MWANAUME UNATAKIWA UANZE KUONA RED FLAG🚩🚩🚩🚩🚩 MAPEMA KABISA, HASA MWANAMKE AKIANZA KIBURI. CHAPA HIYO PAPUCHI KISAWASAWA ACHA UTANI,,,,,KUNA BODABODA WAKE AMEANZA KUMKAZA STUKA!!!

UKISHINDWA HAPA WEWE RUDI KUWA SINGLE WACHANA NA MAPENZI. AFYA YA AKILI NI MUHIMU KWA MUSTAKABALI WA UHAI WAKO🤝

#Kataa ndoa 3-0 Mabroo lialia!!!!
 
Ikamate hiyo pimbi nyanyua miguu mpaka iguse dari itakuheshimu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…