Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,041
- 46,239
37Una miaka mingapi binti?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
37Una miaka mingapi binti?
Ukikosa akili ya kuishi na mwanamke ndio utakuja kuomba msaada wa akili za kataa ndoa 😂😂Habari wakuu,
Leo nimeona nije niwaletee maswaibu yangu yanayo nikabiri kwenye ndoa yangu.
Mimi na mke wangu tuna miaka 6 ndani ya ndoa yetu, miaka mi 5 ya nyuma mambo yalikuwa safi kabisa, ila huu mwaka wa 6 umekuwa na heka heka nyingi mno.
Mambo ni mengi sana ila Leo tuanzie hapa.
MKE WANGU ANANIONA MIMI NI MZEE KWAKE
Mimi na yeye tumepisha umri wa miaka 6 yaani nimempita miaka 6 ya kuzaliwa
LEO ananiambia "wewe umenipita miaka mingi sana, yaani miaka 6 ni mingi sana, ilitakiwa angalau unipite miaka 2, wewe ni mkubwa sana kwangu, ilitakiwa tupishane miaka 2, ulinioa nikiwa mdogo, kwani hukujua kuwa umenipita miaka mingi."
Mimi nilikaa zangu kimya nikitafakari maneno yake, inanishangaza kuniona Mimi ni mzee Kwake, najiuliza maswali kama Leo sijafikisha hata miaka 40 lakini ananiona age go, je? Uzeeni si ataninyanyasa sana.
Nasubiri maoni yenu wakuu, nilipanga nimuwezeshe kibiashara lakini naona bora nimuache awe mama wa nyumbani tuu, na hiyo pesa ya mtaji Bora nimtumie mama yangu aitafune taratibu.
NB: Umri wangu Mimi ni miaka 34 na yeye umri wake ni miaka 28
Yeye ndio age go,kwa umri wako.Unatakiwa kuwa na pisi za kuanzia 25 kushuka.Habari wakuu,

Wanaume ni species inayopotea kwa kasi saana! Mwanaume unatakiwa huwe na akili zaidi ya mara mbili kuweza kummudu mwanamke! Lakini siku hizi wanawake ni werevu kuliko wanaume! Mimi nikikwambia mke wangu namzidi miaka zaidi ya 20 utaamini? Na tuko poa kabisa!Habari wakuu,
Leo nimeona nije niwaletee maswaibu yangu yanayo nikabiri kwenye ndoa yangu.
Mimi na mke wangu tuna miaka 6 ndani ya ndoa yetu, miaka mi 5 ya nyuma mambo yalikuwa safi kabisa, ila huu mwaka wa 6 umekuwa na heka heka nyingi mno.
Mambo ni mengi sana ila Leo tuanzie hapa.
MKE WANGU ANANIONA MIMI NI MZEE KWAKE
Mimi na yeye tumepisha umri wa miaka 6 yaani nimempita miaka 6 ya kuzaliwa
LEO ananiambia "wewe umenipita miaka mingi sana, yaani miaka 6 ni mingi sana, ilitakiwa angalau unipite miaka 2, wewe ni mkubwa sana kwangu, ilitakiwa tupishane miaka 2, ulinioa nikiwa mdogo, kwani hukujua kuwa umenipita miaka mingi."
Mimi nilikaa zangu kimya nikitafakari maneno yake, inanishangaza kuniona Mimi ni mzee Kwake, najiuliza maswali kama Leo sijafikisha hata miaka 40 lakini ananiona age go, je? Uzeeni si ataninyanyasa sana.
Nasubiri maoni yenu wakuu, nilipanga nimuwezeshe kibiashara lakini naona bora nimuache awe mama wa nyumbani tuu, na hiyo pesa ya mtaji Bora nimtumie mama yangu aitafune taratibu.
NB: Umri wangu Mimi ni miaka 34 na yeye umri wake ni miaka 28
Jina lako umesema zipumbovu kwahiyo aliona dyudyu akalikimbilia au wewe unatembea umeishikilia ukitafuta pa kuchomeka?Sikumlazimisha kumuoa, alikubali yeye mwenyewe
Excuse my language, nina imani upo kwenye ndoa!
Tena wana kampeni yao ya kuoa watoto wa 2000 na kuendelea. Wanadhani wanatukomoa, ona sasa😂😂Asante dada
Wanatuona sio wife material🤣🤣🤣
Tayari anachapiwa mpaka sasaDuuuh hana akili huyo.
Sooni utaanza kuchapiwa, anza kujiandaa kwa lolote lile.
Habari wakuu,
Leo nimeona nije niwaletee maswaibu yangu yanayo nikabiri kwenye ndoa yangu.
Mimi na mke wangu tuna miaka 6 ndani ya ndoa yetu, miaka mi 5 ya nyuma mambo yalikuwa safi kabisa, ila huu mwaka wa 6 umekuwa na heka heka nyingi mno.
Mambo ni mengi sana ila Leo tuanzie hapa.
MKE WANGU ANANIONA MIMI NI MZEE KWAKE
Mimi na yeye tumepisha umri wa miaka 6 yaani nimempita miaka 6 ya kuzaliwa
LEO ananiambia "wewe umenipita miaka mingi sana, yaani miaka 6 ni mingi sana, ilitakiwa angalau unipite miaka 2, wewe ni mkubwa sana kwangu, ilitakiwa tupishane miaka 2, ulinioa nikiwa mdogo, kwani hukujua kuwa umenipita miaka mingi."
Mimi nilikaa zangu kimya nikitafakari maneno yake, inanishangaza kuniona Mimi ni mzee Kwake, najiuliza maswali kama Leo sijafikisha hata miaka 40 lakini ananiona age go, je? Uzeeni si ataninyanyasa sana.
Nasubiri maoni yenu wakuu, nilipanga nimuwezeshe kibiashara lakini naona bora nimuache awe mama wa nyumbani tuu, na hiyo pesa ya mtaji Bora nimtumie mama yangu aitafune taratibu.
NB: Umri wangu Mimi ni miaka 34 na yeye umri wake ni miaka 28
Msamehe tu hayo Ni madhara Na faida ya kupishana umriHabari wakuu,

Hajakomaa Akili bado ana utoto mwingii mchukulie tu ni utoto Hawezi kuwaza Sawa Na wewe sababu were umemzidi uwezo wa akiliHabari wakuu,
Leo nimeona nije niwaletee maswaibu yangu yanayo nikabiri kwenye ndoa yangu.
Mimi na mke wangu tuna miaka 6 ndani ya ndoa yetu, miaka mi 5 ya nyuma mambo yalikuwa safi kabisa, ila huu mwaka wa 6 umekuwa na heka heka nyingi mno.
Mambo ni mengi sana ila Leo tuanzie hapa.
MKE WANGU ANANIONA MIMI NI MZEE KWAKE
Mimi na yeye tumepisha umri wa miaka 6 yaani nimempita miaka 6 ya kuzaliwa
LEO ananiambia "wewe umenipita miaka mingi sana, yaani miaka 6 ni mingi sana, ilitakiwa angalau unipite miaka 2, wewe ni mkubwa sana kwangu, ilitakiwa tupishane miaka 2, ulinioa nikiwa mdogo, kwani hukujua kuwa umenipita miaka mingi."
Mimi nilikaa zangu kimya nikitafakari maneno yake, inanishangaza kuniona Mimi ni mzee Kwake, najiuliza maswali kama Leo sijafikisha hata miaka 40 lakini ananiona age go, je? Uzeeni si ataninyanyasa sana.
Nasubiri maoni yenu wakuu, nilipanga nimuwezeshe kibiashara lakini naona bora nimuache awe mama wa nyumbani tuu, na hiyo pesa ya mtaji Bora nimtumie mama yangu aitafune taratibu.
NB: Umri wangu Mimi ni miaka 34 na yeye umri wake ni miaka 28
Kasha kuchoka huyu, hamna mwanaume mzee katika ndoa wakwangu nampita miaka 12 ila jinsi anavo penda kunishika mkono tukiwa nje mtaani asikuambie mtu anaona bonge la kijana handsome husband material.
Jingine usifanye upuuzi kumfungulia biashara nje ya nyumbani kwako.
Kumbe wewe ni mwanamke nilidhani mwanaumeKasha kuchoka huyu, hamna mwanaume mzee katika ndoa wakwangu nampita miaka 12 ila jinsi anavo penda kunishika mkono tukiwa nje mtaani asikuambie mtu anaona bonge la kijana handsome husband material.
Jingine usifanye upuuzi kumfungulia biashara nje ya nyumbani kwako.
inauma sana hii mwana inabidi aandae saikolojia yake vizuri kuanza kupigiwaDuuuh hana akili huyo.
Sooni utaanza kuchapiwa, anza kujiandaa kwa lolote lile.
Ikamate hiyo pimbi nyanyua miguu mpaka iguse dari itakuheshimu!Habari wakuu,