Ndoa yangu ina hali tete

Boss geuza maandishi juu chini Chini juu ngoja nikusomee(Mme wangu nimekuzidi uzoefu kwenye game yaani umenipita miaka sita tu ya kuzaliwa umeoa angali mdogo sAna)Hayo ndo maandishi yanavyosomeka mwanamke ukimzidi miaka sita ni sawA amekuzidi miaka Tisa ndio ni Tisa chukulia yaani wewe una miaka sita yeye ndo anazaliwa ngoja nikusaidie angalia watoto waliozaliwA wAkati wewe unamaliza primary tena wawe wa kike je sasa hivi huwezi kuwAlombA?nikusaidie kidogo nakung'ata Sikio Mkubwa mwenzangu UNA MSAIDIZI.
 
Wanawake kuna muda wana kaus*ng* fulani hivi ambako ni ngumu kukavumilia.
 
Bonge la Comment Mwamba mleta Hoja Njia ni Hii pita humu wewe unakwama wapi?
 
hapo mbona mzee ni yeye? mpe miaka miwili tu hapo halafu mwambie arudie kauli yake
 
Miaka 34 tayari tumeshaanza kuitwa wazee😂

Comments nyingi za wakuu ni kuhusu jamaa atakuwa hamtomb!!i wala kumlidhisha mke wake kwenye tendo😂

MAPENZI NI SANAA
 
Asante Shule ya Msingi Mbalizi 1
 
Bonge Moja la Sekondary School kwetu sisi Wamba kabisa.
 
Kila ukiingia humu inaonekana kabisa ndoa ni jambo la hatari sana... Circle ya marafiki zangu wote ambao wameoa muda wote stress, lawama na kushauri kuto kuoa mapema....


Ndani ya ndoa kuna Siri gani ya kutisha sana? 😁

NB.
Mkuu pole sana aisee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…