Ndoa yangu ina hali tete

Ndoa yangu ina hali tete

Habari wakuu,

Leo nimeona nije niwaletee maswaibu yangu yanayo nikabiri kwenye ndoa yangu.

Mimi na mke wangu tuna miaka 6 ndani ya ndoa yetu, miaka mi 5 ya nyuma mambo yalikuwa safi kabisa, ila huu mwaka wa 6 umekuwa na heka heka nyingi mno.

Mambo ni mengi sana ila Leo tuanzie hapa.

MKE WANGU ANANIONA MIMI NI MZEE KWAKE
Mimi na yeye tumepisha umri wa miaka 6 yaani nimempita miaka 6 ya kuzaliwa

LEO ananiambia "wewe umenipita miaka mingi sana, yaani miaka 6 ni mingi sana, ilitakiwa angalau unipite miaka 2, wewe ni mkubwa sana kwangu, ilitakiwa tupishane miaka 2, ulinioa nikiwa mdogo, kwani hukujua kuwa umenipita miaka mingi."

Mimi nilikaa zangu kimya nikitafakari maneno yake, inanishangaza kuniona Mimi ni mzee Kwake, najiuliza maswali kama Leo sijafikisha hata miaka 40 lakini ananiona age go, je? Uzeeni si ataninyanyasa sana.

Nasubiri maoni yenu wakuu, nilipanga nimuwezeshe kibiashara lakini naona bora nimuache awe mama wa nyumbani tuu, na hiyo pesa ya mtaji Bora nimtumie mama yangu aitafune taratibu.

NB: Umri wangu Mimi ni miaka 34 na yeye umri wake ni miaka 28
Boss geuza maandishi juu chini Chini juu ngoja nikusomee(Mme wangu nimekuzidi uzoefu kwenye game yaani umenipita miaka sita tu ya kuzaliwa umeoa angali mdogo sAna)Hayo ndo maandishi yanavyosomeka mwanamke ukimzidi miaka sita ni sawA amekuzidi miaka Tisa ndio ni Tisa chukulia yaani wewe una miaka sita yeye ndo anazaliwa ngoja nikusaidie angalia watoto waliozaliwA wAkati wewe unamaliza primary tena wawe wa kike je sasa hivi huwezi kuwAlombA?nikusaidie kidogo nakung'ata Sikio Mkubwa mwenzangu UNA MSAIDIZI.
 
Wanawake kuna muda wana kaus*ng* fulani hivi ambako ni ngumu kukavumilia.
 
" mke Wang hata Mimi najiuliza ilikuaje nikakuoa ukiwa bado mdogo. Naona Ni muda sahihi urudi nyumbani wakakuozeshe kwa mtu anaekuzidi miaka miwili ili usiendelee kuteseka hapa kwangu na mzee Kama Mimi"...Kaka unakwama wapi..?? Mahari hutafutwa na hata Mke pia hutafutwa, mwache aendee kuliko aje kukusumbua ukishazeeka.
Bonge la Comment Mwamba mleta Hoja Njia ni Hii pita humu wewe unakwama wapi?
 
Habari wakuu,

Leo nimeona nije niwaletee maswaibu yangu yanayo nikabiri kwenye ndoa yangu.

Mimi na mke wangu tuna miaka 6 ndani ya ndoa yetu, miaka mi 5 ya nyuma mambo yalikuwa safi kabisa, ila huu mwaka wa 6 umekuwa na heka heka nyingi mno.

Mambo ni mengi sana ila Leo tuanzie hapa.

MKE WANGU ANANIONA MIMI NI MZEE KWAKE
Mimi na yeye tumepisha umri wa miaka 6 yaani nimempita miaka 6 ya kuzaliwa

LEO ananiambia "wewe umenipita miaka mingi sana, yaani miaka 6 ni mingi sana, ilitakiwa angalau unipite miaka 2, wewe ni mkubwa sana kwangu, ilitakiwa tupishane miaka 2, ulinioa nikiwa mdogo, kwani hukujua kuwa umenipita miaka mingi."

Mimi nilikaa zangu kimya nikitafakari maneno yake, inanishangaza kuniona Mimi ni mzee Kwake, najiuliza maswali kama Leo sijafikisha hata miaka 40 lakini ananiona age go, je? Uzeeni si ataninyanyasa sana.

Nasubiri maoni yenu wakuu, nilipanga nimuwezeshe kibiashara lakini naona bora nimuache awe mama wa nyumbani tuu, na hiyo pesa ya mtaji Bora nimtumie mama yangu aitafune taratibu.

NB: Umri wangu Mimi ni miaka 34 na yeye umri wake ni miaka 28
hapo mbona mzee ni yeye? mpe miaka miwili tu hapo halafu mwambie arudie kauli yake
 
Miaka 34 tayari tumeshaanza kuitwa wazee😂

Comments nyingi za wakuu ni kuhusu jamaa atakuwa hamtomb!!i wala kumlidhisha mke wake kwenye tendo😂

MAPENZI NI SANAA
 
Ameshindwa kukwambia ukweli wake anaougulia moyoni. Humridhishi.

Mwanamke anayetombwa vizuri kisawasawa akakunwa akakunika hawezi kumwambia mumewe wa ndoa lugha mbovu /chafu / isiyo na staha kama hayo maelezo unayosema kakuumbia mkeo. Tafsiri yake ni kwamba keshakuchoka kwasababu ni dhahiri alikubali kuolewa na wewe kwakuwa ulimtangazia "ndoa". Anakufananisha na fulani anaona mbona yule alikuwa akimtomba anamfikisha lakini kwako haumfikishi!? Labda kwakuwa umemzidi umri (umezeeka).

NDOA ni neno dogo sana lenye maana kubwa mno katika maisha yetu wanadamu. Neno hilo linawatesa mno wanawake. Moja ya mambo yanayompagawisha mwanamke ni kuambiwa ataolewa.

Wengi wao huwa wanaishia kufikiria tu namna atavaa, kukata keki, kupigiwa shamrashamra na vigelegele ,watu watakavyomuona alivyopambwa na mengineyo. Badala ya kuzama kwa kina kufikiria ndoa ni nini hasa kwa mapana yake.

Matokeo yake wanawahi sana kuchoka hasa kwakuwa matarajio yake makubwa aliyokuwa akiwaza haoni matokeo ya harakaharaka (ke, wengi wao hawana subira) wanatamani vitu vya upesiupesi unaamka leo unataka kitu fulani kesho umeshakipata.....kiaje, hawajiulizi maana wengi wao wamekuzwa kwenye kuamini kwamba mume anaweza Kila kitu.

Hiyo ni ishara mbaya sana. Mke wangu akifikia hatua ya kuniambia maneno kama hayo sitopata kigugumizi kuchukua hatua mapema sana maana nakuwa nimeshapewa warning sign ya kwamba ipo siku ataachana na Mimi.

[Maneno yangu sio sheria]
Asante Shule ya Msingi Mbalizi 1
 
Jitahidi uwe unajipa kipaumbele

Kula vizuri
Vaa vizuri

Hakikisha unajiweka standard and classic.

FAIDA
Utakuwa na mwonekano mzuri
Utawindwa Sana na sio kuwinda

Maika 34 ikiwa haujipendi unavaa hovyo ,unakula hovyo lazima utaitwa mzee

Wanaume wengi wamekuwa sex machines , sperms donated
Mwisho wanachoka Sana , sura inapoteza Nuru n.k

So I recommend to you Kwa hayo mambo .

Kuitwa mzee
Age go
Kudharauliwa

Haya yote huwa ni matokeo ya kushindwa Ku-focus na LIFE yako na kuamini kuwa wewe uliumbwa kuwapambania watu Kama Mke , watoto n.k

Life is about balance

Jipende Sana then go and love other
Bonge Moja la Sekondary School kwetu sisi Wamba kabisa.
 
Kila ukiingia humu inaonekana kabisa ndoa ni jambo la hatari sana... Circle ya marafiki zangu wote ambao wameoa muda wote stress, lawama na kushauri kuto kuoa mapema....

Ndani ya ndoa kuna Siri gani ya kutisha sana? 😁

NB.
Mkuu pole sana aisee.
 
Back
Top Bottom