Ndoa yangu ina hali tete

Ndoa yangu ina hali tete

Na huu ndio ukweli maana tofauti ya miaka 6 hawezi kuongea hivyo labda kama ilikuwa kwenye muktadha wa kimasihara ila kama alikuwa serious basi sababu ni hii bila kupepesa macho. Kuna mahali jemedari anatuangusha
Kabisa mwamba kuna mahali anakwama...oh man eat that thing and left no crumbs onhooo shauri yenu...boda boda wanaongezeka siku hizi
 
Ni hilo tu au kuna jingine umetuficha?
Umri wako unamuathiri nini yeye?
Ukute kuna mahali hujagusa na ameguswa na mtu huko mtaani basi anakuona wewe ajuza
Angalia ulipokosea urekebishe mkuu
Umalaya tu ilikuaje aguswe na ni mke wa mtu. Malaya hakosi cha kusingizia cku zote
 
Ameshindwa kukwambia ukweli wake anaougulia moyoni. Humridhishi.

Mwanamke anayetombwa vizuri kisawasawa akakunwa akakunika hawezi kumwambia mumewe wa ndoa lugha mbovu /chafu / isiyo na staha kama hayo maelezo unayosema kakuumbia mkeo. Tafsiri yake ni kwamba keshakuchoka kwasababu ni dhahiri alikubali kuolewa na wewe kwakuwa ulimtangazia "ndoa". Anakufananisha na fulani anaona mbona yule alikuwa akimtomba anamfikisha lakini kwako haumfikishi!? Labda kwakuwa umemzidi umri (umezeeka).

NDOA ni neno dogo sana lenye maana kubwa mno katika maisha yetu wanadamu. Neno hilo linawatesa mno wanawake. Moja ya mambo yanayompagawisha mwanamke ni kuambiwa ataolewa.

Wengi wao huwa wanaishia kufikiria tu namna atavaa, kukata keki, kupigiwa shamrashamra na vigelegele ,watu watakavyomuona alivyopambwa na mengineyo. Badala ya kuzama kwa kina kufikiria ndoa ni nini hasa kwa mapana yake.

Matokeo yake wanawahi sana kuchoka hasa kwakuwa matarajio yake makubwa aliyokuwa akiwaza haoni matokeo ya harakaharaka (ke, wengi wao hawana subira) wanatamani vitu vya upesiupesi unaamka leo unataka kitu fulani kesho umeshakipata.....kiaje, hawajiulizi maana wengi wao wamekuzwa kwenye kuamini kwamba mume anaweza Kila kitu.

Hiyo ni ishara mbaya sana. Mke wangu akifikia hatua ya kuniambia maneno kama hayo sitopata kigugumizi kuchukua hatua mapema sana maana nakuwa nimeshapewa warning sign ya kwamba ipo siku ataachana na Mimi.

[Maneno yangu sio sheria]
Umemaliza kila kitu, uzi ufungwe.
 
Mbona hata yeye ni mzee!!!

Mwanamke mwenye miaka 28 ni mzee.

Akifika 32 menopause inaanza kumchapa taratiiibu.

Kumpa mimba mwanamke mwenye 32yrs ni mtihani sana, menopause iz knocking at her door [emoji376] .

Inabidi mfanye style za kibabe kama popo Kanyea mbingu ili kumdunga mimba mwanamke @ 32yrs of age.
Mmmh sio kuanzia 45?
 
Miaka6 kwenye ndoa na ana miaka 28 maana take mlioana akiwa na miaka 22. Huyo alikuwa hajamaliza stage ukakimbilia kumuoa na sasa anaona aliidhulumu nafsi yake.
Mkiambiwa muoe mishangazi ya25+ mnakataa mnakimbilia watoto[emoji23][emoji23][emoji23]ona sasa anakuona babu yake. Ipo siku atakuambia ulimbaka.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaa had mbavu zinauma, lol
 
Habari wakuu,

Leo nimeona nije niwaletee maswaibu yangu yanayo nikabiri kwenye ndoa yangu.

Mimi na mke wangu tuna miaka 6 ndani ya ndoa yetu, miaka mi 5 ya nyuma mambo yalikuwa safi kabisa, ila huu mwaka wa 6 umekuwa na heka heka nyingi mno.

Mambo ni mengi sana ila Leo tuanzie hapa.

MKE WANGU ANANIONA MIMI NI MZEE KWAKE
Mimi na yeye tumepisha umri wa miaka 6 yaani nimempita miaka 6 ya kuzaliwa

LEO ananiambia "wewe umenipita miaka mingi sana, yaani miaka 6 ni mingi sana, ilitakiwa angalau unipite miaka 2, wewe ni mkubwa sana kwangu, ilitakiwa tupishane miaka 2, ulinioa nikiwa mdogo, kwani hukujua kuwa umenipita miaka mingi."

Mimi nilikaa zangu kimya nikitafakari maneno yake, inanishangaza kuniona Mimi ni mzee Kwake, najiuliza maswali kama Leo sijafikisha hata miaka 40 lakini ananiona age go, je? Uzeeni si ataninyanyasa sana.

Nasubiri maoni yenu wakuu, nilipanga nimuwezeshe kibiashara lakini naona bora nimuache awe mama wa nyumbani tuu, na hiyo pesa ya mtaji Bora nimtumie mama yangu aitafune taratibu.

NB: Umri wangu Mimi ni miaka 34 na yeye umri wake ni miaka 28

Kashadanganywa saluni huyo.
 
Pakia mkongo huyooo kuna kijana tayari kaunganisha bao 2 kwa 1.........sasa anakuona huna jipya ...........nasema pakia mkongo sugua hiyo papa mpaka akumbuke siku aliyotolewa usichana wake............atapata adabu yake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Achapiwe mara ngapi mwambie ukweli kakutana na vijana wadogo wanasimamia mpaka kucha ndio maana ana muona jamaa yetu mzee[emoji23] vijana wadogo wanasimamia kucha kama wapo kwenye mashindano ya kugombania kombe la Dunia [emoji23]
Mbavu zangu mie. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom