Ndoa yangu inateketea

Angalau kuanzia miaka40 kwenda mbele ila chini ya hapo kujitafutia matatzo tu
Ukioa unamiaka 40 utatesa watoto wako ukizingatia lifespan ni miaka mingapi? Unakufa watoto unawaacha unategemea wife ata handle?
 
Kwanza sijaelewa ni ndoa ya dini ipi,pili ni wazi hakutaki

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Ningekuwa wewe ningeshaanza kumshukuru Mungu kwa kasi

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Hapo atakuwa anaishi "msukule" sio "Mke"

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Si anataka kuachwa muache mzee, usilazimishe kijani kuwa nyekundu, kwanini ubembeleze mapenzi, utakufa bure kwa kufosi mambo. Kwani bila ya yeye wewe hupumui, kifupi hana mpango na ww na ukilazimisha atakuja kukupiga tukio moja uione june-july

Its kaveli
 
Wengine wanalilia ndoa
Wengine wanachezea
Uzuri wa mapenzi ni indicator hua zinaonesha zenyewe
Sasa ole wako upingane nazo
 
Kaka yangu alimuacha mkewe kisa kuzalau msiba wa Mama mzazi...

Wanaishi Europe Bi mkubwa alifariki Tza yule mwanamke alimuuluza utaenda kuzika? Aysee yaliotokea we achaa tuu!

Mada yako! Baba yako amefariki hakuja yeye wala familia zao, unaumwa kaja siku moja! Uwamisho wa kujilazimisha!
Legendary embu jiongezee au mpaka umfumanie ndio u take action?
Tafuta room Dar na kama hali hairuhusu muombee dua aludi kwenye mstari. Ikishindikana usilazimishe mambo...
Mzaramo wewe wa ajabu sana..
 
Safi kabisa na akitafuta divorce yeye huyu ndugu anatakiwa alipokee hilo tena kwa furaha kabisa asioneshe unyonge wa kipumbavu.

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Nina uhakika kwa style hyo na maneno hayo aliokutolea huyo mwanamke mpe miezi mitatu atakutafuta tu.,.wewe ji keep busy kwahyo miez mitatu lazima atakutafuta tu...

Mwanamke hana jeuri ya kumuacha mwanaume.
 
Thamani ya mtu siku hizi ni Service (huduma) unazotoa KWA hao wanaokuthamini,wanakupimia thamani na heshima kadiri unavyowapimia hizo huduma,huduma zako kwao zinaposhuka hata thamani Yako inashuka ,
Usikumbatie Illusions za unconditional love ,hakuna binadamu anayekupenda bila condition,

Hata mzazi wako anakupenda KWA Condition ya kuwa wewe ni mwanaye , ndio maana mama yako anaweza kuwa bora Sana kwako lakini huyohuyo mama akiletewa mtoto wa nje wa baba yako anakuwa na matendo ya kishetani,
Jibu ni kwamba upendo wake uko na condition lazima awe amekuzaa ndio akupende,

Usalama wako kama hutaki complications za mahusiano ,ishi mwenyewe na wanao ,usiDEMAND Sana mkeo kuwepo wakati condition iliyokufanya umvutie haipo tena ,kama unataka arudi Rudisha kilichomvuta kwako(kama ni wa muhimu sana kwako),otherwise anza upya
Lastly Umepata uhuru kamili ,ingawa ni uhuru ambao unakuwa huna mtu wa kukusaidia kuona na kukwepa mashimo kwenye njia yako ya maisha ,lakini kama uliyekuwa naye alikuwa anakupitisha kwenye mashimo basi anatakiwa kuondoka
 
Duh kumbe unaweza kuona una mazito ila kuna wenye mazito zaidi. Mkuu pole sana. Ila ningekuwa ni mimi huyo mwanamke naachana nae tena kwa kufata taratibu zote.
 
Ukioa unamiaka 40 utatesa watoto wako ukizingatia lifespan ni miaka mingapi? Unakufa watoto unawaacha unategemea wife ata handle?

kumbe kuna umri wa kufa me nnachojua kifo kipo tu hata mtu wa miaka 18 25 36 anaweza kufa,,,!
kwani ww hapo saa hivi ukifa watoto unawaacha na nani??
 
Kwa kifupi umepata bahati mzee,umeachwa hapo huna lawama na mtu unajichagulia tu zigo lingine maisha yanasonga
 
Kwa kuongezea tu wacha nikupe kisa kilichomkuta mtu wa karibu kabisa alivyonusurika kuishi jela kwa miaka iliyobakia.
Ilikua hivi,baada ya miaka mingi ndani ya ndoa zaidi ya 7 mwanamke akaanza choko choko mwisho akadai taraka lakini ndugu yetu akawa mbishi tena sana suala la kutoa talaka na akawa na kauli mbiu yake hio"mimi najua kuoa sijui kuacha"
Ila mwanamke hakuacha kuidai tena kwa nguvu kweli kweli ila jamaa akagoma,mwisho mwanamke akaenda polisi akafungua kesi ya kubakwa tena kwa kuhonga kabisa kila kwenye njia alizopita,kuja kutahamaki jamaa kawekwa ndani kufumba na kufumbua mahakamani mwisho wa siku hakimu kagonga nyundo miaka 30 jela iwe fundisho kwa wengineo wenye tabia kama hizo za kubaka na nafikiri ikiwemo tabia za kung'ang'ania wanawake kana kwamba yupo peke ake dunia nzima.
Jamaa amekaa miaka 13 jela misamaha yote imempita wima na ametoka mwaka jana tu hapo ila tunashukuru ameanza kurudi kwenye reli kimtindo na mkewe kaolewa huko mbele ya safari,maisha yanandelea.
HIVYO KUCHANGIA MADA,MKUU USILAMISHE KUKAA NA HAO VIUMBE UTAPATA HASARA KUU.
 
Mkuu ngoja nikusaidie kitu. Kwa hulka na aina ulivyoleta hii mada inaonesha kwamba u are a decent guy. Na maamuzi ulishayafanya siku nyingi ila umekosa mtu wa kukwambia kwamba je ni maamuzi sahihi au sio sahihi.

Sasa basi kwa kukusaidia tu maamuzi uliyoyafanya ni sahihi kwako na kwako wewe tu. Binadamu tumeumbwa kwa tabia hulka na makuzi tofauti. Maamuzi yako si lazima yawe sahihi kwa watu wengine au yafanane na inavyotaka jamii inayokuzunguka. Mimi niko hapa kukwambia kwamba umefanya maamuzi sahihi kulingana na case yako, haiba yako, tabia yako, mazingira yako na makuzi yako.

Uenda hujanielewa ila iko hivi, hayo mapicha picha ya mkeo hayajaanza leo, tena uenda yalikuwepo kipind mko kwenye mahusihano kabla hata ya kufunga ndoa yenu na uliamua kwa binafsi yako kuyavumilia na kusonga mbele mpaka ukamzalisha mkeo watoto wawili. In the long run mwanamke akakuchukulia poa, akakuona dhaifu na mpaka mwisho wa siku akakusidia kutamka kwamba muachanane maana kwa mtazamo wake anaona you are weak, you are not strong enough for her. Haujakizi vigezo anavyotaka. Hii isikupe shida maana hakuna mwanamke aliyekamilika. Na wanawake wenyewe hawajui wanataka nini kwa wanaume. Ni viumbe vigwugeu. Hutampa ambaye atafit exactly into your needs mkaishi maisha 'perfect' yaliyokamilika bila vikwazo. Hivyo yapaswa kupambana na ni mapambano kwel kwel ndo maana ata vitabu vya dini vinasema tuishi nao kwa akili.

To cut the story short ni kwamba maamuzi ulishayafanya long time. Na maamuzi hayo ni kuipambania familia yako na watoto wako. Hivyo basi fanya kila unaloweza kuipambania na kuiunganisha tena familia yako na watoto wako. Mungu akutangulie uweze kulifanikisha hili na awaunganishe tena, upate kupona haraka maradhi yanayokusumbua na awajalie maisha marefu mpaka uje uwaone wajukuu wako. Hata kama mwanamke hakutaki kwa sasa unaweza mpa kwanza, kaa mbali nae kwa muda, jipe likizo au vyoyote vile kimsingi pambana, tumia akili yoyote unayoweza tumia utimize lengo lako. Wanawake ni kama vinyonga wanabadilikabadilika pambana umrudishe kwenye mstari na Mungu akutangulie for the sake of your FAMILY.

Usiwasikilize wadau hapo juu wanaokushauri umuache mkeo. Usiwasilikize maana wewe moyo huo wa kumuacha mkeo huna. Sio uwezo bali moyo huo au roho hiyo ya kumpiga chini huna. Huwezi muacha maana kama kumuacha ungeshamuacha siku nyingi wala hauhitaji kupata ushauri toka kwa mtu yoyote zaidi yako wewe mwenyewe

Hivyo basi mrudishe mkeo kwenye mstari. Pambania ndoa na familia yako. Tengeneza tena mazingira muishi tena nyumba moja wewe watoto na mkeo kama FAMILIA. Utaacha wangapi, utaoa wangapi, wanawake almost wote ni walewale tu. Wanazidiana unafuu tu, hakuna aliyekamilika. Ukimuacha huyu hutokaa uje utulie na mwingine mark my words. The trend will be the same, kuoa na kuacha, kuoa na kuacha maana wanawake wote ni walewale tu.
You have invested alot, you have this much energy and time. Dont let life circumstances and misfortunes to distract you. Fight for her and the kids. You are a man.

'You have not came this far to come this far'

Hizi pesa zipo tu, umaarufu upo, lakini cha muhimu zaidi ni FAMILIA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…