David Ben Gurion
JF-Expert Member
- Nov 1, 2018
- 868
- 1,384
Maisha NI mitihani Sana. Pole Sana Kaka. Mungu akusimamie Afya Yako upone Haraka na Shughuli zako zisimame tena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu kama najaribu kukuelewaMkuu ngoja nikusaidie kitu. Kwa hulka na aina ulivyoleta hii mada inaonesha kwamba u are a decent guy. Na maamuzi ulishayafanya siku nyingi ila umekosa mtu wa kukwambia kwamba je ni maamuzi sahihi au sio sahihi.
Sasa basi kwa kukusaidia tu maamuzi uliyoyafanya ni sahihi kwako na kwako wewe tu. Binadamu tumeumbwa kwa tabia hulka na makuzi tofauti. Maamuzi yako si lazima yawe sahihi kwa watu wengine au yafanane na inavyotaka jamii inayokuzunguka. Mimi niko hapa kukwambia kwamba umefanya maamuzi sahihi kulingana na case yako, haiba yako, tabia yako, mazingira yako na makuzi yako.
Uenda hujanielewa ila iko hivi, hayo mapicha picha ya mkeo hayajaanza leo, tena uenda yalikuwepo kipind mko kwenye mahusihano kabla hata ya kufunga ndoa yenu na uliamua kwa binafsi yako kuyavumilia na kusonga mbele mpaka ukamzalisha mkeo watoto wawili. In the long run mwanamke akakuchukulia poa, akakuona dhaifu na mpaka mwisho wa siku akakusidia kutamka kwamba muachanane maana kwa mtazamo wake anaona you are weak, you are not strong enough for her. Haujakizi vigezo anavyotaka. Hii isikupe shida maana hakuna mwanamke aliyekamilika. Na wanawake wenyewe hawajui wanataka nini kwa wanaume. Ni viumbe vigwugeu. Hutampa ambaye atafit exactly into your needs mkaishi maisha 'perfect' yaliyokamilika bila vikwazo. Hivyo yapaswa kupambana na ni mapambano kwel kwel ndo maana ata vitabu vya dini vinasema tuishi nao kwa akili.
To cut the story short ni kwamba maamuzi ulishayafanya long time. Na maamuzi hayo ni kuipambania familia yako na watoto wako. Hivyo basi fanya kila unaloweza kuipambania na kuiunganisha tena familia yako na watoto wako. Mungu akutangulie uweze kulifanikisha hili na awaunganishe tena, upate kupona haraka maradhi yanayokusumbua na awajalie maisha marefu mpaka uje uwaone wajukuu wako. Hata kama mwanamke hakutaki kwa sasa unaweza mpa kwanza, kaa mbali nae kwa muda, jipe likizo au vyoyote vile kimsingi pambana, tumia akili yoyote unayoweza tumia utimize lengo lako. Wanawake ni kama vinyonga wanabadilikabadilika pambana umrudishe kwenye mstari na Mungu akutangulie for the sake of your FAMILY.
Usiwasikilize wadau hapo juu wanaokushauri umuache mkeo. Usiwasilikize maana wewe moyo huo wa kumuacha mkeo huna. Sio uwezo bali moyo huo au roho hiyo ya kumpiga chini huna. Huwezi muacha maana kama kumuacha ungeshamuacha siku nyingi wala hauhitaji kupata ushauri toka kwa mtu yoyote zaidi yako wewe mwenyewe
Hivyo basi mrudishe mkeo kwenye mstari. Pambania ndoa na familia yako. Tengeneza tena mazingira muishi tena nyumba moja wewe watoto na mkeo kama FAMILIA. Utaacha wangapi, utaoa wangapi, wanawake almost wote ni walewale tu. Wanazidiana unafuu tu, hakuna aliyekamilika. Ukimuacha huyu hutokaa uje utulie na mwingine mark my words. The trend will be the same, kuoa na kuacha, kuoa na kuacha maana wanawake wote ni walewale tu.
You have invested alot, you have this much energy and time. Dont let life circumstances and misfortunes to distract you. First for her and the kids. You are a man.
'You have not came this far to come this far'
Hizi pesa zipo tu, umaarufu upo, lakini cha muhimu zaidi ni FAMILIA.
Kabisa mkuu hata mimi nimemwambia tungemsikiliza mke wake pia tujue ukweli uko wapi, mtu mzima mwenyw utimamu wake vizuri hawezi fanya maamuzi kama hayo. Inawezekana hata yeye ana shida zake ambazo hajatuambia hapa.Siamini km mtu unaweza acha ndoa tu ghafla....
kuna mambo hajasema
Ama mawasiliano ndani hayakua mazuri muda mrefu...
Auchukue ushauri wako aufanyie kazi, halafu ajikague na yeye maana inawezekana hata yeye ana weaknesses zake ambazo hajazisema hapa.Mkuu ngoja nikusaidie kitu. Kwa hulka na aina ulivyoleta hii mada inaonesha kwamba u are a decent guy. Na maamuzi ulishayafanya siku nyingi ila umekosa mtu wa kukwambia kwamba je ni maamuzi sahihi au sio sahihi.
Sasa basi kwa kukusaidia tu maamuzi uliyoyafanya ni sahihi kwako na kwako wewe tu. Binadamu tumeumbwa kwa tabia hulka na makuzi tofauti. Maamuzi yako si lazima yawe sahihi kwa watu wengine au yafanane na inavyotaka jamii inayokuzunguka. Mimi niko hapa kukwambia kwamba umefanya maamuzi sahihi kulingana na case yako, haiba yako, tabia yako, mazingira yako na makuzi yako.
Uenda hujanielewa ila iko hivi, hayo mapicha picha ya mkeo hayajaanza leo, tena uenda yalikuwepo kipind mko kwenye mahusihano kabla hata ya kufunga ndoa yenu na uliamua kwa binafsi yako kuyavumilia na kusonga mbele mpaka ukamzalisha mkeo watoto wawili. In the long run mwanamke akakuchukulia poa, akakuona dhaifu na mpaka mwisho wa siku akakusidia kutamka kwamba muachanane maana kwa mtazamo wake anaona you are weak, you are not strong enough for her. Haujakizi vigezo anavyotaka. Hii isikupe shida maana hakuna mwanamke aliyekamilika. Na wanawake wenyewe hawajui wanataka nini kwa wanaume. Ni viumbe vigwugeu. Hutampa ambaye atafit exactly into your needs mkaishi maisha 'perfect' yaliyokamilika bila vikwazo. Hivyo yapaswa kupambana na ni mapambano kwel kwel ndo maana ata vitabu vya dini vinasema tuishi nao kwa akili.
To cut the story short ni kwamba maamuzi ulishayafanya long time. Na maamuzi hayo ni kuipambania familia yako na watoto wako. Hivyo basi fanya kila unaloweza kuipambania na kuiunganisha tena familia yako na watoto wako. Mungu akutangulie uweze kulifanikisha hili na awaunganishe tena, upate kupona haraka maradhi yanayokusumbua na awajalie maisha marefu mpaka uje uwaone wajukuu wako. Hata kama mwanamke hakutaki kwa sasa unaweza mpa kwanza, kaa mbali nae kwa muda, jipe likizo au vyoyote vile kimsingi pambana, tumia akili yoyote unayoweza tumia utimize lengo lako. Wanawake ni kama vinyonga wanabadilikabadilika pambana umrudishe kwenye mstari na Mungu akutangulie for the sake of your FAMILY.
Usiwasikilize wadau hapo juu wanaokushauri umuache mkeo. Usiwasilikize maana wewe moyo huo wa kumuacha mkeo huna. Sio uwezo bali moyo huo au roho hiyo ya kumpiga chini huna. Huwezi muacha maana kama kumuacha ungeshamuacha siku nyingi wala hauhitaji kupata ushauri toka kwa mtu yoyote zaidi yako wewe mwenyewe
Hivyo basi mrudishe mkeo kwenye mstari. Pambania ndoa na familia yako. Tengeneza tena mazingira muishi tena nyumba moja wewe watoto na mkeo kama FAMILIA. Utaacha wangapi, utaoa wangapi, wanawake almost wote ni walewale tu. Wanazidiana unafuu tu, hakuna aliyekamilika. Ukimuacha huyu hutokaa uje utulie na mwingine mark my words. The trend will be the same, kuoa na kuacha, kuoa na kuacha maana wanawake wote ni walewale tu.
You have invested alot, you have this much energy and time. Dont let life circumstances and misfortunes to distract you. First for her and the kids. You are a man.
'You have not came this far to come this far'
Hizi pesa zipo tu, umaarufu upo, lakini cha muhimu zaidi ni FAMILIA.
Mkuu kama hiyo ndo hali uliyonayo nakushauri kwanza focus na afya yako ndo kitu cha thamani zaidi kisha tumia akili..kuliko hisia, kumbuka mwanamke alazimishwi mahusiano haswa hao wasomi na wajuaji kama mkeo mpe nafasi achague kuendelea kwa hiari yake au kufanya mambo yake.usiforce mambo acha yaende kama yanavyotaka kwenda.Habari wana JF wote kwa ujumla, bila ya kupoteza muda naomba kuja kwenye mada husika. Mimi ni kijana wa miaka 35,ndoa yanagu mpaka sasa inamiaka 5 tuu. Katika kipindi chote hichi tumeishi kwa furaha na upendo mkubwa tumebahatika kupata watoto 2.
Mke wangu ni mtumishi chuo kikuu(mwalimu)na mimi ni unga unga mwana pangu pakavu baada ya kampuni fulani ya mawasiliano niliyokua nafanya kazi kufungiwa na serikali kwa madai ya kukwepa kulipa na kuhujumu uchumi hivyo kesi bado iko mahakamani lakini sijawahi kukosa rizik japo kipato changu ni kidogo ila upendo na furaha viliendelea kushamiri.
KUANZA TATIZO
Mambo yalianza kua mabaya ktk ndoa yangu pale tuu mke wang alivyohamishwa kikazi na kuja hapa Dar ktk chuo kikuu fulani mwaka huu mwez 3 hivyo mimi niliendelea kubaki mkoni kwa lengo la kujipanga ili nihamie dar ili niwe karibu na familia yangu.
Ifahamike kua uhamisho wake haukua wa malipo kutokana na yy ndo aliomba kuhamishwa hivyo alipofika hapa Dar alifikia kwao maana yeye ni mzaliwa wa hapa dar.
Baada ya miezi 2 kupita mimi pia nikatoka mkoani na kuja hapa Dar,ila nilifikia nyumban kwetu kwa wazazi wangu (Mkuranga)
Harakaki za kutafuta nyumba zikaanza,kwa bahati mbaya wakati sijalipia nyumba nikafiwa na mzazi wangu(baba) chakushangaza mke wangu hakuweza kufika msibani kwa madai ya kukosa ruhusa kazini.
Sikua na neno maana bado nilikua kwenye majonzi,baada ya msiba kumalizika nilinza kujisikia homa kali na kulazwa hospitali,baada ya vipimo niligundulika ni Covid 19,
Mungu alisaidia nikaruhusiwa na kuendelea na matibabu nyumban. Wakati naendelea na matibabu mawasiliano na mke wangu yalikua ya tabu sana,simu za zilikua hazipaikan kwa madai mtoto wetu mdogo ameharibu simu yake hivyo ilinibidi niwe namtafuta mama mkwe kuongea na mke wangu
Hali ya kimawasiliano ilizidi kua mbaya zaid kadri siku zinavyozidi kusonga mbele,akawa hanitafuti,mpaka mimi nimtafute yeye, upendo wake kwangu ulikua umepungua sana kwangu. Maana hata kunijulia hali imekua vigumu kwake. Kibaya zaid alinza kufuta account namba yake ya wasapu na kuwa online kupitia Facebook nilivyomuuliza mbona nakuona online ushanunua simu nyingine?alinijibu kua ni ya ndugu yake wanaishi karibu pia namjua huyo mtu.
Nilimuomba namba ya simu anayoitumia ya huyo ndugu yake akanipa. Chaajabu sasa nikipiga ile namba anapokea muhusika wa ile simu na ananimbia yy yuko mbali kidogo na mke wangu.
Hii hali ilinishangaza sana kwan mda ambao nachat na mke wangu Facebook ndo mda huo nimepiga simu baada ya yy kunipa hiyo namba na kaniambia ndo anaitumia kwenye hiyo simu,
Niliendelea kuvumilia hii hali kwakua sikua na jinsi maana bado naendelea na matibabu. Hapa juzi kanitumia ujumbe kupitia Facebook anasema tuachane yy amechoka na maisha ya ndoa hivyo anahitaji kua single,haoni faida ya kua kwenye ndoa. Kwa kwel moyo wangu wote ulikua unawaka moto kwa maumivi makari sana
Kwakua bado naumwa halafu nakutana na changamoto kama hii. Ilinibidi nimtafute kwa kumpigia simu kupitia kwa mama ake akampa simu nikaongea nae.
Nilimuuliza kwan kipi kibaya ambacho nimekufanyia mpaka umefikia maamuz hayo ya kutaka tuachane?alinijibua kua yy amechoka na kudharauliwa hapo kwao maana inaonekama kama mimi nimemdamp tuu hapo kwao,
Nilimuuliza kwan hujui hali yangu ya kiafya kwasasa? Akanijibu kua anajua ila hayo ndo maamuzi aliyaamua kwan kichwa chake hakiko sawa,pia kazin kwake pia hajapandishwa mshahara hivyo hayuko sawa. Baada ya kuniambia hiyo alinikatia simu.
Ifahamike kua kipindi hiki chote ninachoumwa kaja kuniona mara moja tuu mpaka sasa ni mwez umekata hajaja kuniona.
Na mda huu yuko likizo haend kazin.
Naombeni ushauri wenu na mawazao nini nifanye kuinusuru ndoa yangu?hali yangu kiafya bado haija kaa sawa.ndoa inazidi kuniumiza msaada wenu tafadhali.
Kasusa kuja kumzika Baba yako, kashindwa kuja kukuhudumia wakati unaumwa......Ushauri gani tena unataka toka kwetu?Habari wana JF wote kwa ujumla, bila ya kupoteza muda naomba kuja kwenye mada husika. Mimi ni kijana wa miaka 35,ndoa yanagu mpaka sasa inamiaka 5 tuu. Katika kipindi chote hichi tumeishi kwa furaha na upendo mkubwa tumebahatika kupata watoto 2.
Mke wangu ni mtumishi chuo kikuu(mwalimu)na mimi ni unga unga mwana pangu pakavu baada ya kampuni fulani ya mawasiliano niliyokua nafanya kazi kufungiwa na serikali kwa madai ya kukwepa kulipa na kuhujumu uchumi hivyo kesi bado iko mahakamani lakini sijawahi kukosa rizik japo kipato changu ni kidogo ila upendo na furaha viliendelea kushamiri.
KUANZA TATIZO
Mambo yalianza kua mabaya ktk ndoa yangu pale tuu mke wang alivyohamishwa kikazi na kuja hapa Dar ktk chuo kikuu fulani mwaka huu mwez 3 hivyo mimi niliendelea kubaki mkoni kwa lengo la kujipanga ili nihamie dar ili niwe karibu na familia yangu.
Ifahamike kua uhamisho wake haukua wa malipo kutokana na yy ndo aliomba kuhamishwa hivyo alipofika hapa Dar alifikia kwao maana yeye ni mzaliwa wa hapa dar.
Baada ya miezi 2 kupita mimi pia nikatoka mkoani na kuja hapa Dar,ila nilifikia nyumban kwetu kwa wazazi wangu (Mkuranga)
Harakaki za kutafuta nyumba zikaanza,kwa bahati mbaya wakati sijalipia nyumba nikafiwa na mzazi wangu(baba) chakushangaza mke wangu hakuweza kufika msibani kwa madai ya kukosa ruhusa kazini.
Sikua na neno maana bado nilikua kwenye majonzi,baada ya msiba kumalizika nilinza kujisikia homa kali na kulazwa hospitali,baada ya vipimo niligundulika ni Covid 19,
Mungu alisaidia nikaruhusiwa na kuendelea na matibabu nyumban. Wakati naendelea na matibabu mawasiliano na mke wangu yalikua ya tabu sana,simu za zilikua hazipaikan kwa madai mtoto wetu mdogo ameharibu simu yake hivyo ilinibidi niwe namtafuta mama mkwe kuongea na mke wangu
Hali ya kimawasiliano ilizidi kua mbaya zaid kadri siku zinavyozidi kusonga mbele,akawa hanitafuti,mpaka mimi nimtafute yeye, upendo wake kwangu ulikua umepungua sana kwangu. Maana hata kunijulia hali imekua vigumu kwake. Kibaya zaid alinza kufuta account namba yake ya wasapu na kuwa online kupitia Facebook nilivyomuuliza mbona nakuona online ushanunua simu nyingine?alinijibu kua ni ya ndugu yake wanaishi karibu pia namjua huyo mtu.
Nilimuomba namba ya simu anayoitumia ya huyo ndugu yake akanipa. Chaajabu sasa nikipiga ile namba anapokea muhusika wa ile simu na ananimbia yy yuko mbali kidogo na mke wangu.
Hii hali ilinishangaza sana kwan mda ambao nachat na mke wangu Facebook ndo mda huo nimepiga simu baada ya yy kunipa hiyo namba na kaniambia ndo anaitumia kwenye hiyo simu,
Niliendelea kuvumilia hii hali kwakua sikua na jinsi maana bado naendelea na matibabu. Hapa juzi kanitumia ujumbe kupitia Facebook anasema tuachane yy amechoka na maisha ya ndoa hivyo anahitaji kua single,haoni faida ya kua kwenye ndoa. Kwa kwel moyo wangu wote ulikua unawaka moto kwa maumivi makari sana
Kwakua bado naumwa halafu nakutana na changamoto kama hii. Ilinibidi nimtafute kwa kumpigia simu kupitia kwa mama ake akampa simu nikaongea nae.
Nilimuuliza kwan kipi kibaya ambacho nimekufanyia mpaka umefikia maamuz hayo ya kutaka tuachane?alinijibua kua yy amechoka na kudharauliwa hapo kwao maana inaonekama kama mimi nimemdamp tuu hapo kwao,
Nilimuuliza kwan hujui hali yangu ya kiafya kwasasa? Akanijibu kua anajua ila hayo ndo maamuzi aliyaamua kwan kichwa chake hakiko sawa,pia kazin kwake pia hajapandishwa mshahara hivyo hayuko sawa. Baada ya kuniambia hiyo alinikatia simu.
Ifahamike kua kipindi hiki chote ninachoumwa kaja kuniona mara moja tuu mpaka sasa ni mwez umekata hajaja kuniona.
Na mda huu yuko likizo haend kazin.
Naombeni ushauri wenu na mawazao nini nifanye kuinusuru ndoa yangu?hali yangu kiafya bado haija kaa sawa.ndoa inazidi kuniumiza msaada wenu tafadhali.
Tumuambie mkewe anampenda ni shetani tu kampitia aongee na wazee waweke vikao ili arudiane na wife.Kasusa kuja kumzika Baba yako, kashindwa kuja kukuhudumia wakati unaumwa......Ushauri gani tena unataka toka kwetu?
Nakubaliana na wewe kabisa. Inabidi ajiongeze!Tumuambie mkewe anampenda ni shetani tu kampitia aongee na wazee waweke vikao ili arudiane na wife.
Binadamu tunapendaga sana kupingana na ukweli. Anajua kabisa mkewe hamtaki badala amove on anataka tumdanganye aendelee kuteseka.
Mapenzi yanaishaga na yakiisha hamna kitu unaweza kufanya zaidi ya kumshukuru Mungu na kuendelea mbele. Kutaka ushauri ni kuendelea kuishi kwenye kivuli akitegemea mkewe atamrudia.
Wanawake huwa wanakinai Mapenzi na mpaka akisema muachane na matendo yake yakaendana ujue kamaanisha kwa wakati huo
Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
kwani material wife maana yake ni mtu anapenda vitu? hahahhahaah leo ndo nimejua nilikuwa naelewa tofautiPole sana Mkuu,
Kitendo cha mke wako kutafuta uhamisho wa kwenda Dar, nyumbani kwao ilipaswa kukupa ishara kuwa kuna jambo baya katika ndoa yenu kwa upande wake...
Mke wako ni mtu anapenda vitu (material wife) na kazi alonayo inampa kiburi.
Na pia familia yake inahusika katika kumshauri vibaya.
Kama kweli unampenda mke wako, bas tafuta mganga wa kienyeji afanye yafuatayo,
1.Amfukuzishe kazi na asipate kazi milele na
2.Amrudishe kwako.
Kila la kheri...
Point kubwa sanaNever give up on your family never.(children). But wife is NOT your blood relative.
SO,akitaka kumuacha,onana nae (Ila pambania watoto wako wakue vzr),ili ujihakikishie sababu ya kuachana, alaf kubali kuwa mjinga muachane officially ili asijekusababishia matatizo makubwa mbelen ukapata kilema cha maisha.
#kuna baadhi ya mafanikio maishani, Mungu hawezi kuyaruhus mpk awatoe watu watakao kuangusha tena.
#Ndio pale unaona unatafuta na mtu ila kabla hamjaanza kufurahia maisha,anakata tamaa na anakusaliti na unakosa nguvu ya kuendelea kushirikiana nae,ila baada ya kuachana nae officially,Ndio mafanikio makubwa yanajirud,na hapo HUPASWI KUMRUDIA HATA WAKIJA WAZEE WA KANISA AU MSIKITI(Maana Mungu alikutenga nae kwasababu).
#
Ni ngumu sana kuukubali ukweli, ngumu mno...Tumuambie mkewe anampenda ni shetani tu kampitia aongee na wazee waweke vikao ili arudiane na wife.
Binadamu tunapendaga sana kupingana na ukweli. Anajua kabisa mkewe hamtaki badala amove on anataka tumdanganye aendelee kuteseka.
Mapenzi yanaishaga na yakiisha hamna kitu unaweza kufanya zaidi ya kumshukuru Mungu na kuendelea mbele. Kutaka ushauri ni kuendelea kuishi kwenye kivuli akitegemea mkewe atamrudia.
Wanawake huwa wanakinai Mapenzi na mpaka akisema muachane na matendo yake yakaendana ujue kamaanisha kwa wakati huo
Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
Ushauri wako ni wakikatiri binafsi nashauri asifike huku kwani kazaa nae watoto hivyo amsaidie kulea na kusomesha watoto wao najua watoto mama ndio mlezi mkuuPole sana Mkuu,
Kitendo cha mke wako kutafuta uhamisho wa kwenda Dar, nyumbani kwao ilipaswa kukupa ishara kuwa kuna jambo baya katika ndoa yenu kwa upande wake...
Mke wako ni mtu anapenda vitu (material wife) na kazi alonayo inampa kiburi.
Na pia familia yake inahusika katika kumshauri vibaya.
Kama kweli unampenda mke wako, bas tafuta mganga wa kienyeji afanye yafuatayo,
1.Amfukuzishe kazi na asipate kazi milele na
2.Amrudishe kwako.
Kila la kheri...
Ukweli unauma mkuu ila inabidi kuukubali tu.Ni ngumu sana kuukubali ukweli, ngumu mno...