Ndoa yangu inateketea

Never give up on your family never.(children). But wife is NOT your blood relative.

SO,akitaka kumuacha,onana nae (Ila pambania watoto wako wakue vzr),ili ujihakikishie sababu ya kuachana, alaf kubali kuwa mjinga muachane officially ili asijekusababishia matatizo makubwa mbelen ukapata kilema cha maisha.

#kuna baadhi ya mafanikio maishani, Mungu hawezi kuyaruhus mpk awatoe watu watakao kuangusha tena.

#Ndio pale unaona unatafuta na mtu ila kabla hamjaanza kufurahia maisha,anakata tamaa na anakusaliti na unakosa nguvu ya kuendelea kushirikiana nae,ila baada ya kuachana nae officially,Ndio mafanikio makubwa yanajirud,na hapo HUPASWI KUMRUDIA HATA WAKIJA WAZEE WA KANISA AU MSIKITI(Maana Mungu alikutenga nae kwasababu).
#
 
mbn hili zali mbn halinitokei. Lilinitokea juzi kwa mchepuko lkn. Eti naona tuachane tena kwa msg. Na mi nikamjibu kwa msg "SAWA". Mpaka hapa naandika tuko kumyaaaa. Simtafuti hanitafuti maisha yanasonga. Maana few days back kabla ya message take alianza commands kibao nikamchomolea
 
Pole Sana jipe moyo na ujasiri Ukiona hivyo ni dalili zinazoonesha mkeo kapata bwana mwingine au labda kakuchoka kutokana na kipato chako au labda ubinafsi unamsumbua,kwanini anatoa maamuzi ya haraka ya kuachana badala ya kutafuta suluhu wapi mlipotofautiana au kukwazana.Itisheni kikao Cha kifamilia mtafute chanzo Nini Cha hayo yote hapo ili mtatue tatizo na kurekebisha.Mwanamke akikataa ushauri zaidi ya Mara tatu na aking'ang'ania muachane Basi wewe muache aende,Tulia na ulee watoto wako na yeye pia atatakiwa ahusike katika kutoa mahitaji ya msingi kwa watoto na malezi.Usiutese moyo siku akikumiss atarudi tu yeye mwenyewe amini hivyo na mtaziweka tofauti chini huyo bado ni mkeo tu hata iweje Sema huwezi jua anastress za Nini mpaka analazimisha muachane kuachana sio Jambo rahisi kihivyo Kama anavyo fikiri na isitoshe tayari mnafamilia.
 
Naombeni ushauri wenu na mawazao nini nifanye kuinusuru ndoa yangu?hali yangu kiafya bado haija kaa sawa.ndoa inazidi kuniumiza msaada wenu tafadhali.
Sasa mkuu huoni kama unataka kulazimisha penzi. Huyo hakutaki tena, wewe unataka unusuru ndoa, tafuta mwengine tu.
 
Hakuna cha kunusuru hapo mkuu. Kubali ukweli and move on. Pole sana
 
Mkuu! Kwa pole sana inaonekana unampenda sana huyo mwanamke, yeye hakupendi, na sio hakupendi hana future na wewe, mwanamke katika maisha yake hajawah chagua mwanaume sahihi, yaani kila anayempitia kwake awali humuona no sahihi, lakini dhambi ya usaliti hutafuna, atakuacha wewe, huko anakoenda kwenue maisha mapya sidhani kama anaenda kuishi na mwanamke mwezie, naamini anaenda kuishi na mwanaume, huyu ni mwanaume ambae anajua fika amemchukua mwanamke wa mtu, hata kama huyo mkeo hajamwambia kuwa yupo katika ndoa, hawasemagi, lakini atamkuta na ndala zake( umemzalisha ) matyityi ukiyaona utajua tu huyu kishazaa na mzalishaji, hapo huyo mwanaume hata kuwa na amani maishani na huyo mwanamke yaani kila akimuangalia itamjia picha kwamba huyu mwanamke alishazaa na mchizi awali, je hawana mwasiliano? Kwanini waliachana? Hawezi kuniacha na mimi? Basi huyo mtu anayemzuzua sasa atakuwa na huyo malay* kwa machale, atamtia ududu na mwishonwa siku atamtimua tu, wanawae huwa wanaamini sisi wanaume ni wajinga, lakini hakika wao ni wajinga wa kiwango cha kimataifa.

Achana nae, tena ni vizuri mkaachana sasa hivi kabla hajaota mapum*u akaja kukusumbua baadae, mshushie kituo kinachofuata huku kila mtu akishihufia sababu ni yeye ndio ametaka, kabla hajaanza kwenda kwa waganga kukufanyia mataduni utoe talaka...

Mkuu, niliachwa na mwanamke nikiwa nimepata ajali na nilikuwa nimevunjika viganja vya mikono yoote miwili, yaan siwezi kula wala kuchamba yaani unaenda msalani alafu unafika kule unakaa saa nzima hamna uchofanya ni majuto na majonzi, alafu apo kaniachia vitoto mmoja ana 1.5 mwingine 2.5 achilia mbali kufanya jambo lolote linalohusisha mikono...leo hii watoto wanakuwa fresh tu na maisha yanasonga, niko vizuri

Kila la kheri ni mtihani mdogo sana huo mkuu, achana nae ili upate changamoto mpya.
 
Hakuna ndoa hapa.
Ulioa wale walitakiwa kuwa makahaba
 
Pole mkuuu. Mi sina cha kushauri zaidi ya kuusikiliza moyo wako
 
Mbona unajaribu kuficha ficha kitu fulani? Je, mkeo alijutia kwa alichokufanyia(alipata pigo lolote)? Au bado anaendelea kula raha tu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaweza kuta familia yake wala aihusiki na tabia zake, ila anawatumia kama kichaka.

Mwenye akili timamu, anauwezo wa kuchuja ushauri. Huyo mke, ni mawazo yake binafsi baada ya kuanza kuchepuka.
 
Ukweli ni kuwa asilimia75 ya wanawake wenye ajira, wakishapata watoto wawili au watatu Ila hasa wawili wanapenda kuishi na watoto wao tu ili wawe huru,
Ili mume uvumilike ukubali kuwa Mjinga mjinga kwa mkewe Kama ushauri alio utoa mwijaku kwa pett .
Umenikumbusha Interview moja Denzel Washington aliulizwa siri ya kuwa na ndoa iliyodumu muda mrefu..(yeye kama mume anafanya nini)..alijibu.."at home,shut your mouth and just listen"..

Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
 
Ni wazi hakutaki tena na vizuri amekuwa muwazi, hivyo ni vyema ukazingatia afya yako upone baada ya hapo ongeza bidii kwenye kutafuta fedha.

Inawezekana unampenda lakini yeye hakupendi ameamua kukupiga chenga kwa kuhama na kuzuia mawasiliano.

Move on....35 bado sana utatusua na utapata mnaependana kwa dhati...huyo kuna lecturer mwenzie ameshamchanganya na hivi huna pesa ndio kabisa anakuona mzigo.
 
Mkuu mlazimishe huyo maana haiwezekani akuchezee alafu akuache.
 
Usimlazimishe ili uendelee na ndoa hiyo yaheshimu maamuzi yake wewe Pambana utafute pesa . Usimlazimishe hiyo sio riziki Kaka utajipunguzia siku za kuishi labda kama wewe ndio unamtegemea ili uendeshe maisha yako .
 
Tibiwa upone mke kusha kuacha , tafuta pesa owa mwingine ili usiachwe tena sababu ya umaskini tena, ushauri wangu huu ni kupitia yaliyonikuta km wewe najua maumivu ya mke kukuacha inauma ni bora ukimwacha wewe but move on
 
Sababu gan ilimfanya aombe uhamisho kuja Dar?! Hapa ndo mwanzo wa yote
 
"Usimrudie aliekuacha atakuchoma kisu kifuani" - Young Killer

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
Panateketea kwa mkaa au kuni au gesi au umeme wewe kama mmeshindwana nenda maombi ikishindikana tafuta mchepuko inateketea kwani hiyo ni nyumba??
Kama ni nyumba omba msaada zima moto.
Kama ni msitu waombe tanapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…