Ndoa yangu inateketea

Maisha NI mitihani Sana. Pole Sana Kaka. Mungu akusimamie Afya Yako upone Haraka na Shughuli zako zisimame tena
 
Ndugu kama najaribu kukuelewa
 
Siamini km mtu unaweza acha ndoa tu ghafla....

kuna mambo hajasema
Ama mawasiliano ndani hayakua mazuri muda mrefu...
Kabisa mkuu hata mimi nimemwambia tungemsikiliza mke wake pia tujue ukweli uko wapi, mtu mzima mwenyw utimamu wake vizuri hawezi fanya maamuzi kama hayo. Inawezekana hata yeye ana shida zake ambazo hajatuambia hapa.
 
Auchukue ushauri wako aufanyie kazi, halafu ajikague na yeye maana inawezekana hata yeye ana weaknesses zake ambazo hajazisema hapa.
 
Mkuu kama hiyo ndo hali uliyonayo nakushauri kwanza focus na afya yako ndo kitu cha thamani zaidi kisha tumia akili..kuliko hisia, kumbuka mwanamke alazimishwi mahusiano haswa hao wasomi na wajuaji kama mkeo mpe nafasi achague kuendelea kwa hiari yake au kufanya mambo yake.usiforce mambo acha yaende kama yanavyotaka kwenda.
 
Kasusa kuja kumzika Baba yako, kashindwa kuja kukuhudumia wakati unaumwa......Ushauri gani tena unataka toka kwetu?
 
Kasusa kuja kumzika Baba yako, kashindwa kuja kukuhudumia wakati unaumwa......Ushauri gani tena unataka toka kwetu?
Tumuambie mkewe anampenda ni shetani tu kampitia aongee na wazee waweke vikao ili arudiane na wife.

Binadamu tunapendaga sana kupingana na ukweli. Anajua kabisa mkewe hamtaki badala amove on anataka tumdanganye aendelee kuteseka.

Mapenzi yanaishaga na yakiisha hamna kitu unaweza kufanya zaidi ya kumshukuru Mungu na kuendelea mbele. Kutaka ushauri ni kuendelea kuishi kwenye kivuli akitegemea mkewe atamrudia.
Wanawake huwa wanakinai Mapenzi na mpaka akisema muachane na matendo yake yakaendana ujue kamaanisha kwa wakati huo

Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
 
Nakubaliana na wewe kabisa. Inabidi ajiongeze!
 
kwani material wife maana yake ni mtu anapenda vitu? hahahhahaah leo ndo nimejua nilikuwa naelewa tofauti


hahahhahah jje's mimi jaman
 
Pole mkuu mungu akutie nguvu Da inaumiza kama hotojali nitafute dm nikwambie kitu nitumie namba wewe na mwanaume jipe moyo utashinda
 
Pole Sana Kama umesema ukweli mtupu mnk naona umemuanika kbsa kuwa kahamia UDSM waatalamu wakiunganisha. Dot watampata ingawa CYO mbaya
 
Point kubwa sana
 
Pole sana kiongozi, bahati mbaya sana ndoa yako imekufa mda mrefu tu Ila huenda hata hukujua.

Kupata mwanamke asiyependa pesa na kuiabudu hakika ni kupata dhahabu. Huyo wako kuna uwezekano amechoshwa na maisha yako, kutokuwa na pesa ya uhakika.

Maamuzi magumu ni kuachana nae, lakini ni ngumu mno...utaambiwa uachane nae lakini deep down wewe ndio unajua ugumu was kuachana nae.

Nikuombee heri tu mdogo wangu, ain't easy hata kidogo!
 
Ni ngumu sana kuukubali ukweli, ngumu mno...
 
Ushauri wako ni wakikatiri binafsi nashauri asifike huku kwani kazaa nae watoto hivyo amsaidie kulea na kusomesha watoto wao najua watoto mama ndio mlezi mkuu
 
Pole sana kiongozi kwani asilimia kubwa ya wanawake wenye kazi lakini sio wote kazi ndio Kila kitu kwao,Ina maana kazi kwanza halafu mme ndio anafuata lakini kwenye kwenye kazi huko ndio mambo mengine huanzia huko
 
Bro, kitendo cha kutokuhudhuria mazishi ya baba yako ni sababu tosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…