Ndoa yangu inateketea

kwani material wife maana yake ni mtu anapenda vitu? hahahhahaah leo ndo nimejua nilikuwa naelewa tofauti


hahahhahah jje's mimi jaman
Nadhani kuna tofauti kati ya Wife material na material wife (materialistic)
 
Huu ushauri nimeupenda sana. Maana hapo ni kumkomesha. Na ninavyojua mimi waganga wa kienyeji hiyo ya kumfukuzisha kazi ni dakika sifuri tu.
 
mtu anaweza kuolewa na wewe kwa sababu una kazi, kazi ikiisha ndoa imeisha pia. Tafuta kazi nyingine tafuta mke mwingine
 
Hivi walimu wa chuo nao wanaombaga uhamisho kama walimu wa shule za msingi na sekondari?
Enewei ngoja nimalizie taarifa
 
Pole sana mzee, hakuna penzi bila pesa!
"utakula kwa jasho na yeye atazaa kwa uchungu"
Huu ndio mgawanyo wa majukumu aliotuelekeza muumba.
 
Let her go.
Hakuna ndoa ya kunusuru apo. Kikubwa omba Mungu upone, uendelee na mitikasi mingine.
 
Mkuu ndoa nyengine zinafungwa na nafsi mbili pia ni ngumu kumuacha mke kirahisi inakua kama umebebeshwa mke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…