BB_DANGOTE
JF-Expert Member
- Sep 25, 2023
- 388
- 561
Kunywa Maji MengiHabari wakuu
Mimi na mke wangu tunafanya kazi mikoa tofauti ila siyo mbali ni masaa matano anatumia njiani akiwa anakuja kwangu mara nyingi huwa anakuja ijumaa na jumatatu anaondoka.Mimi nina ishi na mtoto na mfanyakazi na huyo mfanyakazi anamlipa yeye.Kusudi la kukaa na mtoto na beki tatu huko anakofanya kazi mazingira hayako poa so tukaona wabaki na mimi.Changamoto inayojitokeza sasa mke wangu amekua akifanya mambo bila kunishirikisha kwa mfano wiki tatu zilizopita aliniambia anaenda kwenye semina kanisani alivyorud hakusema chochote ghafla nikaona mwenzangu ana harakati za biashara ya mtandaoni biashara yenyewe ni ile ambayo kampuni wanakuuzia madawa halafu ww utafute wateja uwauzie ndiyo urudishe hela zako ulizonunulia.Sasa kinachonitatiza zaidi kafungua akaunti mitandao ya kijamii kaweka no yake ya simu,email na location kabisa yeye anapoishi.Mara nyingi nikimkataza jambo fulani hanielewi kuna kipindi kuna tatizo lilijitokeza nikafikisha taarifa kwa mama ake lkn naona bado mwenzangu mambo ni vile vile sasa nawauliza nyie ambao mmewaacha wake zenu na kuoa wengine vipi hali ikoje huko nataka nimuache huyu mi dharau sipendi
No one is perfect! Sijaona kosa kubwa la huyo bimkubwa yeye yuko tayari ?Hapana mkuu zinaa ni mbaya sana nina muda mrefu sijachepuka
Habari wakuu
Mimi na mke wangu tunafanya kazi mikoa tofauti ila siyo mbali ni masaa matano anatumia njiani akiwa anakuja kwangu mara nyingi huwa anakuja ijumaa na jumatatu anaondoka.Mimi nina ishi na mtoto na mfanyakazi na huyo mfanyakazi anamlipa yeye.Kusudi la kukaa na mtoto na beki tatu huko anakofanya kazi mazingira hayako poa so tukaona wabaki na mimi.Changamoto inayojitokeza sasa mke wangu amekua akifanya mambo bila kunishirikisha kwa mfano wiki tatu zilizopita aliniambia anaenda kwenye semina kanisani alivyorud hakusema chochote ghafla nikaona mwenzangu ana harakati za biashara ya mtandaoni biashara yenyewe ni ile ambayo kampuni wanakuuzia madawa halafu ww utafute wateja uwauzie ndiyo urudishe hela zako ulizonunulia.Sasa kinachonitatiza zaidi kafungua akaunti mitandao ya kijamii kaweka no yake ya simu,email na location kabisa yeye anapoishi.Mara nyingi nikimkataza jambo fulani hanielewi kuna kipindi kuna tatizo lilijitokeza nikafikisha taarifa kwa mama ake lkn naona bado mwenzangu mambo ni vile vile sasa nawauliza nyie ambao mmewaacha wake zenu na kuoa wengine vipi hali ikoje huko nataka nimuache huyu mi dharau sipendi
SawaKunywa Maji Mengi
Alafu kagua Simu yake katika Wakati asio tarajia
Tengeneza kosa alafu mpige mkwala mzito ukiwa serious Sana usilegee Hata Kidogo
Mtishie kumrudisha kwao akionesha jeuri jua ana Wanaume Wengine na ana Amani nao,
Akinyenyekea mpe vigezo, Mwambie
Kuna makosa ukinifanyia sitakusamehe Kwa namna yeyote Cheating.
Nashukuru sana kwa ushauriUsimuache sababu sisi tuliacha maana utakuja kumlilia, sisi tuliacha sababu tuliamua na tulichoka!
Wewe Bado, haya unayoongea sio sababu ya kuacha mke Kabiaa, subiri kama sababu itatokea
SawaNo one is perfect! Sijaona kosa kubwa la huyo bimkubwa yeye yuko tayari ?
Uliwahi sana kuoa kabla hujatahiriwa bila ganzi. Mke sio kama nguo uvue hii uvae Ile simply. Anyway" Marriage is not for everyone."Habari wakuu
Mimi na mke wangu tunafanya kazi mikoa tofauti ila siyo mbali ni masaa matano anatumia njiani akiwa anakuja kwangu mara nyingi huwa anakuja ijumaa na jumatatu anaondoka.Mimi nina ishi na mtoto na mfanyakazi na huyo mfanyakazi anamlipa yeye.Kusudi la kukaa na mtoto na beki tatu huko anakofanya kazi mazingira hayako poa so tukaona wabaki na mimi.Changamoto inayojitokeza sasa mke wangu amekua akifanya mambo bila kunishirikisha kwa mfano wiki tatu zilizopita aliniambia anaenda kwenye semina kanisani alivyorud hakusema chochote ghafla nikaona mwenzangu ana harakati za biashara ya mtandaoni biashara yenyewe ni ile ambayo kampuni wanakuuzia madawa halafu ww utafute wateja uwauzie ndiyo urudishe hela zako ulizonunulia.Sasa kinachonitatiza zaidi kafungua akaunti mitandao ya kijamii kaweka no yake ya simu,email na location kabisa yeye anapoishi.Mara nyingi nikimkataza jambo fulani hanielewi kuna kipindi kuna tatizo lilijitokeza nikafikisha taarifa kwa mama ake lkn naona bado mwenzangu mambo ni vile vile sasa nawauliza nyie ambao mmewaacha wake zenu na kuoa wengine vipi hali ikoje huko nataka nimuache huyu mi dharau sipendi
Nimekupata mkuuUliwahi sana kuoa kabla hujatahiriwa bila ganzi. Mke sio kama nguo uvue hii uvae Ile simply. Anyway" Marriage is not for everyone."
Be a Man, lazima kuna sehemu ulichemka kumtengeneza awe unavyotaka, lakini pia wanawake wengi kwenye ndoa wanahicho kijitabia kiasili kujiamlia mambo bila ruhusa hasa uchumi wanahisi ni jambo lao binafsi.Nimekupata mkuu
Nashindwa kualewa!! nashindwa kualewa!!Habari wakuu
Mimi na mke wangu tunafanya kazi mikoa tofauti ila siyo mbali ni masaa matano anatumia njiani akiwa anakuja kwangu mara nyingi huwa anakuja ijumaa na jumatatu anaondoka.Mimi nina ishi na mtoto na mfanyakazi na huyo mfanyakazi anamlipa yeye.Kusudi la kukaa na mtoto na beki tatu huko anakofanya kazi mazingira hayako poa so tukaona wabaki na mimi.Changamoto inayojitokeza sasa mke wangu amekua akifanya mambo bila kunishirikisha kwa mfano wiki tatu zilizopita aliniambia anaenda kwenye semina kanisani alivyorud hakusema chochote ghafla nikaona mwenzangu ana harakati za biashara ya mtandaoni biashara yenyewe ni ile ambayo kampuni wanakuuzia madawa halafu ww utafute wateja uwauzie ndiyo urudishe hela zako ulizonunulia.Sasa kinachonitatiza zaidi kafungua akaunti mitandao ya kijamii kaweka no yake ya simu,email na location kabisa yeye anapoishi.Mara nyingi nikimkataza jambo fulani hanielewi kuna kipindi kuna tatizo lilijitokeza nikafikisha taarifa kwa mama ake lkn naona bado mwenzangu mambo ni vile vile sasa nawauliza nyie ambao mmewaacha wake zenu na kuoa wengine vipi hali ikoje huko nataka nimuache huyu mi dharau sipendi
Sawa nashukuruBe a Man, lazima kuna sehemu ulichemka kumtengeneza awe unavyotaka, lakini pia wanawake wengi kwenye ndoa wanahicho kijitabia kiasili kujiamlia mambo bila ruhusa hasa uchumi wanahisi ni jambo lao binafsi.
Pili hiyo biashara anayofanya hao jamaa huwa wanaushawishi mkubwa sana, pengine kalishwa sumu ya kutosha tu Hadi anakuona wewe upo analog au usingemkubalia angekushirikisha.
Tatu, hongera kwa kupata mke ambaye angalau anaspiriti ya kujiongeza /ujasiliamali. Wengine wanateseka na wake zao wanakula mitaji Kila siku na biashara zinawashinda /hawajali
Hicho ndyo kinaniwazisha kwa sababu kaajiliwa sawa waajiriwa kipato hakitoshi lkn kaingia kwenye hiyo biashara mi naona haina tofauti na qnetHamna mke hapo.
Akili yake pia inaonekana finyu mpaka kaingia mkenge kwenye biashara za pyramid scheme inaonesha ana tamaa sana.
Hapana sijamchoka nimekuwa nae muda mrefu sanaHivi ukiowa ndiyo umfanye mwenzako km gari wewe dere kila ukitaka wewe ndiyo linavyoenda.
Basi ndoa zitakuwa ngumu sana kwa mtindo huo.
Huna sbb ya kumucha huyo dada labda tuu umemchoka. Na ukijaribu kuharras tuu hata kuja teena hizo trip za w-end shauri yako.