Una umri gani mkuu?Hamna simtafutii sababu kiukweli napenda sana kuwa na familia yangu na hata kumuoa yeye nilisema kabisa mwanamke atakaebeba ujauzito ndyo yeye nitamuoa na nimefunga nae ndoa
Sio kweli huyo mwanamke amemchunguza huyu mwanaume na kumuona hana vision.Comments nyingi za wadau humu zinaonesha namna gani ndoa zao zilivyo taabani kwasababu mleta mada amesema wazi kuwa mke wake hamshirikishi kwa mambo muhimu ya mustakabali wa maisha yao lakini wadau wanasema hawaoni kosa.
Hii ni tafsiri kwamba wanaume wengi humu wanapitia hali hii ya mke kujiamulia mambo na mwanaume anabaki kama zwazwa tu.
Ukiona mwanamke hakushirikishi mambo ya msingi probably amepata mwingine anayemuamini na kumshirikisha mambo yake.
Sasa wewe unatakiwa kumshauri biashara nyingine na kumsapoti ili abadilishe ila sio kumuacha hiyo si sababu ya kuacha mkeHicho ndyo kinaniwazisha kwa sababu kaajiliwa sawa waajiriwa kipato hakitoshi lkn kaingia kwenye hiyo biashara mi naona haina tofauti na qnet
Ndoa ni kuvumiliana pls tulia na weka maombi mbele mumlee mtoto wenu na mwisho wa yote muwe na familia bora.Habari wakuu
Mimi na mke wangu tunafanya kazi mikoa tofauti ila siyo mbali ni masaa matano anatumia njiani akiwa anakuja kwangu mara nyingi huwa anakuja ijumaa na jumatatu anaondoka.Mimi nina ishi na mtoto na mfanyakazi na huyo mfanyakazi anamlipa yeye.Kusudi la kukaa na mtoto na beki tatu huko anakofanya kazi mazingira hayako poa so tukaona wabaki na mimi.Changamoto inayojitokeza sasa mke wangu amekua akifanya mambo bila kunishirikisha kwa mfano wiki tatu zilizopita aliniambia anaenda kwenye semina kanisani alivyorud hakusema chochote ghafla nikaona mwenzangu ana harakati za biashara ya mtandaoni biashara yenyewe ni ile ambayo kampuni wanakuuzia madawa halafu ww utafute wateja uwauzie ndiyo urudishe hela zako ulizonunulia.Sasa kinachonitatiza zaidi kafungua akaunti mitandao ya kijamii kaweka no yake ya simu,email na location kabisa yeye anapoishi.Mara nyingi nikimkataza jambo fulani hanielewi kuna kipindi kuna tatizo lilijitokeza nikafikisha taarifa kwa mama ake lkn naona bado mwenzangu mambo ni vile vile sasa nawauliza nyie ambao mmewaacha wake zenu na kuoa wengine vipi hali ikoje huko nataka nimuache huyu mi dharau sipendi
Mjomba wewe kuwa tu mjinga. Hata sisi huku wenzako hali ni hiyo hiyo. Tunavumilia tu mjomba ili watoto wasije kuteseka kwa kukosa malezi ya pande zote mbili. Hawa watu kwa sasa hawashikiki mjomba. Ukishindwa kabisa kuvumilia, ingia kwenye chama cha watu wa kataa ndoa. Huko walau utapumua mjomba.Habari wakuu
Mimi na mke wangu tunafanya kazi mikoa tofauti ila siyo mbali ni masaa matano anatumia njiani akiwa anakuja kwangu mara nyingi huwa anakuja ijumaa na jumatatu anaondoka.Mimi nina ishi na mtoto na mfanyakazi na huyo mfanyakazi anamlipa yeye.Kusudi la kukaa na mtoto na beki tatu huko anakofanya kazi mazingira hayako poa so tukaona wabaki na mimi.Changamoto inayojitokeza sasa mke wangu amekua akifanya mambo bila kunishirikisha kwa mfano wiki tatu zilizopita aliniambia anaenda kwenye semina kanisani alivyorud hakusema chochote ghafla nikaona mwenzangu ana harakati za biashara ya mtandaoni biashara yenyewe ni ile ambayo kampuni wanakuuzia madawa halafu ww utafute wateja uwauzie ndiyo urudishe hela zako ulizonunulia.Sasa kinachonitatiza zaidi kafungua akaunti mitandao ya kijamii kaweka no yake ya simu,email na location kabisa yeye anapoishi.Mara nyingi nikimkataza jambo fulani hanielewi kuna kipindi kuna tatizo lilijitokeza nikafikisha taarifa kwa mama ake lkn naona bado mwenzangu mambo ni vile vile sasa nawauliza nyie ambao mmewaacha wake zenu na kuoa wengine vipi hali ikoje huko nataka nimuache huyu mi dharau sipendi
Tatizo biashara aliyoamua kuifanya na kufanya mambo bila kunishirikishaWachangia wanauliza kosa nini?
Ni kwamba wametafuta kosa kupitia maelezo na matendo aliyofanya hakuna kosa.
Shida ipo kwako,
Wewe bado hujakua una waza kitoto sana,inaonekana ni mwathirika pia wa story za vijiweni.
Ndugu kwa sasa ww ni mtoto wa kiume sio mwanaume.
Siku ukifikia umri wa kuwa mwanaume uje ukumbuke thread yako hii.
Utajishangaa.
Mwanamke anavumilia ujinga wako mwingi sana ni vile hawezi kukuambia yote ,
Kwenye ndoa mwanamke pia anaweza akawa na upeo mkubwa kuzidi mwanaume,Ndio ilivyo ndoa yako.
Hapana sijafikia huko nimdinye beki tatuAu ameshagundua unamla beki tatu?
Mkuu ww umenipata vizuri sana nashangaa navyoulizwa kosa lake liko wpComments nyingi za wadau humu zinaonesha namna gani ndoa zao zilivyo taabani kwasababu mleta mada amesema wazi kuwa mke wake hamshirikishi kwa mambo muhimu ya mustakabali wa maisha yao lakini wadau wanasema hawaoni kosa.
Hii ni tafsiri kwamba wanaume wengi humu wanapitia hali hii ya mke kujiamulia mambo na mwanaume anabaki kama zwazwa tu.
Ukiona mwanamke hakushirikishi mambo ya msingi probably amepata mwingine anayemuamini na kumshirikisha mambo yake.
SawaAcha ujinga wewe....kuachana kutakucost sana yaani mtaachana,mtagawana mlichopata lakini ajabu pesa ya matunzo ya mtoto KUBWA KULIKO ataolewa au kuchepuka rasmi huku ukibaki na sonona.
Jaribu uone.
Nashukuru sanaTatizo kubwa hapa si biashara pekee, bali kutokushirikishana na kukosekana kwa mawasiliano kwenye ndoa. Usikimbilie kumuacha kwa hasira. Zungumza naye kwa utulivu, eleza kinachokuumiza, msikilizane na muweke mipaka ya maamuzi mnayopaswa kufanya pamoja.
Kuachana kuwe chaguo la mwisho baada ya kuona hakuna mabadiliko licha ya mazungumzo ya dhati.
Hicho ndyo kinaniwazisha kwa sababu kaajiliwa sawa waajiriwa kipato hakitoshi lkn kaingia kwenye hiyo biashara mi naona haina tofauti na qnet