Ndoa za bomani: sheria ya kumwomba mke mtarajiwa atoe idhini ndoa imruhusu mwaaume kuongeza mke au isimruhusu irekebishwe

Ndoa za bomani: sheria ya kumwomba mke mtarajiwa atoe idhini ndoa imruhusu mwaaume kuongeza mke au isimruhusu irekebishwe

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
kuna wanaokimbilia ndoa za bomani wakidhani watakuja kuongeza mke lakini hali huwa tofaui

Kile cheti kina sehemu ya ku-tick au kuchagua kuwa ndoa yenu ni ya aina gani. Kuna ya mke mmoja na wake wengi lakini mwanamke inabidi atoe ruhusa kwa ridhaa yake kuruhusu ndoa awepo pekeyake ama kumruhusu mumewe kuja kuongeza mke huko mbele.

Nakwambia Piga ua !! huji kumkuta mwanamke mwenye akili zake akuruhusu kuongeza mke kwa ridhaa yake, utamkuta 1 kati ya 100.

Hii sheria ya kumwomba mke atoe idhini ili uongeze mke Kenya waliipiga panga bungeni ingawaje wabunge wanawake wali mind sana kwamba inamyanyasa mwanamke......naona wanaume waliwazidi kwenye wingi wa kura. Ni wakati sasa serikali ikarekebishe hii sheria ili mwanaume aweze kuamua kuongeza mke bila idhini ya mke ili kupunguza idadi ya wanawake wanaokosa waume kwa kigezo cha mke aliyetangulia kukaba penati. Hii pia itapunguza nyumba ndogo na watoto wasiojulikana ndani ya ukoo na familia kwani sasa mambo yatakuwa hadharani.
 
Hujui kama mnatakiwa kukubaliana idadi ya wanawake kabla ya kwenda kuandikisha?wewe ukitaka ya mke zaidi ya mmoja na yeye hataki,unafanya maamuzi ya kumtafuta atakayekubaliana na hitaji lako then unaenda naye kufunga ndoa
 
Back
Top Bottom