ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
Wewe umeamua kumuasi Yesu Kristo basi utulie hivyohivyo. Miaka michache ijayo hautakuwepo tena duniani lakini biblia na maagizo yake yanadumu milele.Nashauri Ndoa za Kanisani ambazo hakuna kuachana mpaka kufa zifutuliwe mbali na badala yake tuanze na tuwe na ndoa za mahakamani tu ambapo mkuu wa wilaya hapo bomani anawafungisha ndoa, na ni rahisi sana kuitengua ndoa hii.
Kwakuwa mauaji ndoani yameshika Kasi ,ambayo yanasababishwa na hizi ndoa za milele.
Sasa ni wakati serikali kufuta ndoa hizi Ili watu waoane kiserikali na Kama ikitokea kufumaniana basi ni rahisi kuachana kabisa, na Nina uhakika ndoa hizi zitapunguza vifo.
Nilitaka kuuliza hivyo.Hivi Swalha na Said walifunga ndoa ya milele kanisa gani?
Walau hata angekua nazo hizo za kuvukia barabaraAkili za kuvukia barabara hizi
Ndoa gani hakuna kuachana!?..wakati binadam anaweza kuugua wakati wowote asiweze hudumia ndoa,au akiugua wazimu inakuaje!?Nilitaka kuuliza hivyo.
Jambo jema wanawake waishi mikoa yao na wanaume mikoa yao, kuzalishana kwa chupa.Nashauri Ndoa za Kanisani ambazo hakuna kuachana mpaka kufa zifutuliwe mbali na badala yake tuanze na tuwe na ndoa za mahakamani tu ambapo mkuu wa wilaya hapo bomani anawafungisha ndoa, na ni rahisi sana kuitengua ndoa hii.
Kwakuwa mauaji ndoani yameshika Kasi ,ambayo yanasababishwa na hizi ndoa za milele.
Sasa ni wakati serikali kufuta ndoa hizi Ili watu waoane kiserikali na Kama ikitokea kufumaniana basi ni rahisi kuachana kabisa, na Nina uhakika ndoa hizi zitapunguza vifo.
Kwamba ndoa ya wawili inapovunjika mbingu utetemeka! Siku zote nimeshindwa kuelewa kauli hii. Yaani wanandoa washindwane kutokana na tabia zao mfano mmoja wao au wote wawili kuwa fuska, jambazi, muuaji n.k. halafu ndoa ya watu hao inapovunjika eti mbingu itetemeke kweli? Shetani mwenyewe alipoasi huko mbinguni hatujaambiwa kama kulitokea tetemeko mbinguni.Ndoa gani hakuna kuachana!?..wakati binadam anaweza kuugua wakati wowote asiweze hudumia ndoa,au akiugua wazimu inakuaje!?
Nona mwinjilisti wa kislamu upo kazini..waambie kabisa siku wakitaka kuhama hiyo dini watatengwa ama kuukata vichwa vyao...absurdIslam is the best way of life for everyone under the Sun
Welcome to the true Religion
Saidi na SwalhaIslam is the best way of life for everyone under the Sun
Welcome to the true Religion
Let Aya kuthibitisha kauli yakoNona mwinjilisti wa kislamu upo kazini..waambie kabisa siku wakitaka kuhama hiyo dini watatengwa ama kuukata vichwa vyao...absurd
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app