mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
hii dini yenu ni kama biko au tatu mzuka,mnapenda kuinadi sana sijui tatizi ni nini!!!Islam is the best way of life for everyone under the Sun
Welcome to the true Religion
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hii dini yenu ni kama biko au tatu mzuka,mnapenda kuinadi sana sijui tatizi ni nini!!!Islam is the best way of life for everyone under the Sun
Welcome to the true Religion
Hoja yako haina mashiko! Mbona hao wana ndoa walio poteza maisha huko Mwanza walikuwa ni Waislam! Na dini yao inaruhusu talaka!Nashauri Ndoa za Kanisani ambazo hakuna kuachana mpaka kufa zifutuliwe mbali na badala yake tuanze na tuwe na ndoa za mahakamani tu ambapo mkuu wa wilaya hapo bomani anawafungisha ndoa, na ni rahisi sana kuitengua ndoa hii.
Kwakuwa mauaji ndoani yameshika Kasi ,ambayo yanasababishwa na hizi ndoa za milele.
Sasa ni wakati serikali kufuta ndoa hizi Ili watu waoane kiserikali na Kama ikitokea kufumaniana basi ni rahisi kuachana kabisa, na Nina uhakika ndoa hizi zitapunguza vifo.
Kwa hiyo yule Said na Swalha wa kule Mwanza walikuwa ni wakristo siyo! Ifikie wakati muache unafiki.Islam is the best way of life for everyone under the Sun
Welcome to the true Religion
Mambo ya kanisa hayakuhusuNashauri Ndoa za Kanisani ambazo hakuna kuachana mpaka kufa zifutuliwe mbali na badala yake tuanze na tuwe na ndoa za mahakamani tu ambapo mkuu wa wilaya hapo bomani anawafungisha ndoa, na ni rahisi sana kuitengua ndoa hii.
Kwakuwa mauaji ndoani yameshika Kasi ,ambayo yanasababishwa na hizi ndoa za milele.
Sasa ni wakati serikali kufuta ndoa hizi Ili watu waoane kiserikali na Kama ikitokea kufumaniana basi ni rahisi kuachana kabisa, na Nina uhakika ndoa hizi zitapunguza vifo.
Nenda kasome Uislamu hlf ndo utajua Uislamu ndo nini usipende kusikiliza ya mitandaoni.hii dini yenu ni kama biko au tatu mzuka,mnapenda kuinadi sana sijui tatizi ni nini!!!
Kuna waislamu wanaofuata Uislamu sahihi na.kuna Waislamu jina tofautisha kati ya watu hawa wawiliKwa hiyo yule Said na Swalha wa kule Mwanza walikuwa ni wakristo siyo! Ifikie wakati muache unafiki.
uislam tunaujua kupitia waislamu.Nenda kasome Uislamu hlf ndo utajua Uislamu ndo nini usipende kusikiliza ya mitandaoni.
Muislam jina na muislam safi unawatofautishaje,kuua mtu ni tofauti na kuua mtu sababu ya dini.Kuna waislamu wanaofuata Uislamu sahihi na.kuna Waislamu jina tofautisha kati ya watu hawa wawili
Hlf ukianza kuleta mambo ya mauaji mbona nyie ndo mnaongoza kwa kuuwana!
kwaio ukiisikia Nchi fulani midomoni mwa watu ndo umeisoma hiyo Nchi?uislam tunaujua kupitia waislamu.
si nyinyi husema Allah aliwaletea dini yenu ambayo ni uislamu???vipi tuujue kwa kuusoma kwa lugha na maandishi ambayo wengi hatujaelewi!!!
mumeagizwa kuilingania dini yenu kwa watu wengine,dini ina ofa kibao hata baada ya kifo kuna ofa za wali 72.kwani ni uongo kwamba mnainadi dini??
Ata hueleweki kijanaMuislam jina na muislam safi unawatofautishaje,kuua mtu ni tofauti na kuua mtu sababu ya dini.
kichaa kama hamza mpaka risasi inamfikia kwa imani yake yeye ni mshindi kaipigana vita ya Allah.